Kitendo cha Kanisa kufungisha ndoa ya Joti huku akiwa amenyoa mtindo wa kihuni ni sahihi?

Jan 29, 2017
61
66
Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO WA KIHUNI NI SAHIHI??
Au Kanisa haliangalii sana suala la maadili.??
===
Screenshot_2017-10-28-17-43-38.jpg
wabobezi wa masuala ya kidini nielemisheni pengine nipo giza juu ya maadilu===
 
weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
 
Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO WA KIHUNI NI SAHIHI??
Au Kanisa haliangalii sana suala la maadili.??
===View attachment 619273wabobezi wa masuala ya kidini nielemisheni pengine nipo giza juu ya maadilu===
One of those sad things. Eventually what we do and take as normal things, end up going in the holy places. Ndio maana hata ushoga wapo wanaoona ni kitu sawa akiwemo askofu Desmond Tutu
 
Soma kitabu cha Wakorintho, waraka za Mtume Paulo kuhusu mavazi, kusuka na muonekano kwa ujumla mbele za Mungu.
Kuhusu kunyoa vibaya kama mtindo wa denge umekatazwa soma , Mambo ya Walawi 19:27.
Ndoa ni jambo Takatifu mbele za Mungu halipaswi kuchukuliwa kwa mizaha, ingalikuwa inaruhusiwa kukaa vyovyote mbele ya Kanisa basi hakukuwa na haja hiyo ndoa iingie Kanisani ili ifungwe wangeweza kufungia hata majumbani kwao.
Kuna code of ethics zinazotawala ktk mambo ya dini.
 
Nimejikuta namkumbuka Rafiki yangu dizasta vina.
"Kanisa utachomwa moto naku-apia"

Mambo ya makanisa tunawaachia watu wamakanisa.

Hongera Mr.jot kwa kupata jiko..na tuijaze dunia.

Furahia maisha kilaunapopata dakika ya kupumua.
 
One of those sad things. Eventually what we do and take as normal things, end up going in the holy places. Ndio maana hata ushoga wapo wanaoona ni kitu sawa akiwemo askofu Desmond Tutu
Umeenda mbali mkuu. Ushoga si halali bali kuwa nyanyapaa sijambo jema
 
Back
Top Bottom