Issa Michuzi pembeni mwa rais Jakaya Kikwete

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
604
489
Jamaa kala shavu bana, anachukua matukio muhimu kwa niaba ya raisi, pongezi zimwendee kwa jitihada binafsi zilizompelekea hadi akafika huko. Ninamwona raisi jakaya pale ambapo kuna tukio zuri la kihistoria huinua juu macho yake kule nyuma ishara ya kumkumbusha anko michuzi asiache kuchukua snap. He really deserves it maana nimekuwa nikifatilia blogspot yake inavyoaanza hadi leo hii ilipofikia. Kudos anko nanili
 
jamaa kajibidisha sana mpaka kufika hapo alipo anahitaji pongezi kwakweli,nakumbuka enzi hizo za kupiga picha mikutanoni kisha kuzipanga nje mkitoka mkutanoni mnazikuta mnanunua buku buku,ni mbali kwa kweli mpaka kufikia hapo anastahili:poa
 
Sasa kwanini hii hukui-post kule kwake? si ungempongezea mule mule? au unasemaje.
 
jamaa kajibidisha sana mpaka kufika hapo alipo anahitaji pongezi kwakweli,nakumbuka enzi hizo za kupiga picha mikutanoni kisha kuzipanga nje mkitoka mkutanoni mnazikuta mnanunua buku buku,ni mbali kwa kweli mpaka kufikia hapo anastahili:poa

kwa upigaji picha tu,Muhidin I. Michuzi miaka kadhaa iliyopita amekuwa akizunguka nchi mbalimbali duniani! Marekani ndiyo usiseme.. Hilo la picha za bukubuku sidhani kama amewahi kufanya!
 
Hongeza zako bro. Naamini hukufika hapo kwa upendeleo, bali kwa utendaji wako uliotukuka. Kila la kheri mkuu.
 
mi sisiem bana inaboa na blog zao si muende huku huko mkamjadili huyo mjomba wenu.. eti anajitahidi kazi yake ni kujipendekeza na kuchekacheka so kuwa karibu na huyo kilaza ndio kujitahidi!? wabongo bana kaz ipo
 
kwa upigaji picha tu,Muhidin I. Michuzi miaka kadhaa iliyopita amekuwa akizunguka nchi mbalimbali duniani! Marekani ndiyo usiseme.. Hilo la picha za bukubuku sidhani kama amewahi kufanya!

wewe unaonekana mtoto wa leo ..hebu kwanza kakojoe ulale ukue....Michuzi kaanza kupiga picha kwanza sio hizo za buku buku ...kaanzia kupiga picha kwenye kumbi za disko hapo darisalama kwa wazee wazamani Mbowe, YMCA na Ushirika Club au Maggot huko ndo Michuzi kapata kaujuzi kakupiga picha za mia mbili mbili na alikuwa amepanga chumba kipawa......baadae akajoin kwenye magazeti ya Daily News....kiukweli jamaa ni mhangaikaji I SALUTE HIM AMETOKA MBALI....HARDWORK PAYS.....KUDOS MICHUZI.
 
Posho atazopata zitamsaidia tuza hawa wake zake

red42.JPG
 
Ankali mithupu,nilisikia hilo jina la michuzi si lake ni la utani tu lakini ndugu zake wote wanatumia michuzi Haaaa kweli "Nitoke vipi"
 
na wale mkuu wa kaya alikuwa anawalazimisha kupiga picha sio kina ankoli au kina nani hao....langu jicho dole gumba na simu yangu!.
 
Chuzi kama Chuzi,kikazi namkubali sana...ila ni mtu wa shobooo sana kwa watu wenye madaraka....anaboa sana na shobo zake,humkuti anatetea wanyonge!Shobo rider 24/7!!!!!!!!!
 
Huu ni wivu wa kike sasa..unatakata awatetee wanyonge kivipi????awarambe ndo ujue anawatetea????DO U THINK MAGWANDA ANAWATETEA WANYONGE???ACHENI MICHUZI AFURAHIE MATUNDA YA KAZI YAKE BANAA...JAMAA ANAKULA JASHO LAKE ..HAJAMFISADI AU KUMDHULUMU MTU NI JUHUDI ZAKE BINAFSI....KUDOS BRODA MICHUZI.
 
Duh!!! mara tu tumeshasau kwamba ni mwaka jana tu wakati wa uchaguzi mkuu hiyo blog iligeuka KIJANI?.......Fadhia bana...japo amebebeka kwa kustahili nikikubaiana na hoja ya kujituma........Ukigeuza shilingi.......ni kweli kwamba kasogeea mzinga wa mshiko...ila sina hakika kama atasimamia ulingo gani katika mustakabai wa taarifa sahihi za duru la kisiasa Tanzania.....pamoja na kumpongeza lazima haka kahofu kajengeke kwamba huenda ikawa ni NURU INAYOFIFISHWA........Tazama zengwa la Kipanya Clouds.......walau yeye ataendelea kung'aa japo tonge lake limeondoka
 
Back
Top Bottom