Shilole kufanyiwa makubwa 'honeymoon'


miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,498
Likes
2,551
Points
280
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,498 2,551 280
Mume mtarajiwa wa msanii ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mabinti kutokana na juhudi zake za kupambana na maisha, Zuwena Mohamedi au Shilole, ameweka wazi matarajio ya kumpeleka Ulaya kula 'honey moon' mke wake huyo mtarajiwa.


16122564_1014875958616756_5725040390222905344_n.jpg?itok=SXUauzm5&timestamp=1509278416


Akizungumza na mwandishi wa East Africa Radio, mwanaume huyo anayejulikana kwa jina la Uchebe, amesema ndoa yake na msanii huyo itakuwa mwezi wa 12 mwaka huu kwa kuwa ameshakamilisha taratibu zote za kuhalalisha mahusiano yake na msanii huyo.

"Mwenyezi Mungu afanyie wepesi sasa hivi tupo kwenye maandalizi, na akipenda mwezi wa 12 itakuwa ndoa kwani taratibu zote nishafuata, mahari mi nishamaliza sidaiwi, na honey moon nampeleka Ulaya", amesema Uchebe ambaye ndiye shemeji yetu kwa Shilole.

Hivi karibuni kulikuwa na tetesi kwamba wawili hao wameachana, na Shilole kukanusha taarifa hizo na kusema kwamba wawili hao bado wapo pamoja.

Fahamu kwamba pamoja na vituko vyake vingi, Shilole ni mfano bora kwa mabinti kutokana na bidii anazoonyesha kwenye kupambana na maisha, ambapo mpaka sasa ni mjasiriamali mkubwa, kwa kuwa na mgahawa wa chakula, bidhaa ambayo ni brand yake pamoja na kusimamia wasanii wengine.EATV
 
mende msafi

mende msafi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
1,079
Likes
2,005
Points
280
mende msafi

mende msafi

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
1,079 2,005 280
Mwezi asali
 
THE BADDEST

THE BADDEST

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
844
Likes
762
Points
180
THE BADDEST

THE BADDEST

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
844 762 180
Ohooo basi sawa
 
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Messages
1,794
Likes
2,137
Points
280
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2017
1,794 2,137 280
Kosa kubwa wanalofanya nikuweka mambo yao public, wanasahau kuwa kuna husda za wanadamu
 
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Messages
15,225
Likes
2,334
Points
280
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2010
15,225 2,334 280
Uwoya na Janjaro honeymoon wapi?
 
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified User
Joined
Sep 13, 2014
Messages
6,766
Likes
5,020
Points
280
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified User
Joined Sep 13, 2014
6,766 5,020 280
Walisema mwezi wa 10 ni wa 12 tena???
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
30,318
Likes
163,334
Points
280
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
30,318 163,334 280
Bongo Bahati Mbaya
 
Aigoo

Aigoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
2,712
Likes
2,214
Points
280
Aigoo

Aigoo

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
2,712 2,214 280
Kumbe uchebe anapesa za kwenda hadi ulaya..
 
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
7,631
Likes
8,944
Points
280
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
7,631 8,944 280
Mwezi December Ulaya baridi, bora ampeleke Australia au New Zealand.
 
The Monk

The Monk

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
11,757
Likes
16,492
Points
280
The Monk

The Monk

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2012
11,757 16,492 280
Kosa kubwa wanalofanya nikuweka mambo yao public, wanasahau kuwa kuna husda za wanadamu
Maisha ya wasanii mara nyingi mambo yao mengi ni hadharani. Wasiposemwa sana ndio wamepotea kwenye tasnia. Usishangae hata hii nayo ikawa ni jitihada ya kuhakikisha hawapotei hewani
 
mwandende JR

mwandende JR

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Messages
1,111
Likes
1,218
Points
280
mwandende JR

mwandende JR

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2017
1,111 1,218 280
Yeye mwenyewe NAIROBI hapajuwi....atampeleka ULAYA SHILOLE?waache FIKSI
 

Forum statistics

Threads 1,215,079
Members 463,007
Posts 28,534,933