Ile ndoa ya staa wa bongo movie Irene Uwoya aka Oprah imevunjika. Ndoa hiyo imedumu kwa muda wa miezi 18 tu. Inasadikiwa ndoa hiyo imegharimu Tshs 80,000,000.00.
Hebu cheki mahojiano haya kati ya...
Msanii Gigy Money ambaye hivi karibuni ameua gumzo na kushangaza watu baada ya kuona mahali anaposihi, amesema ni kweli sehemu ambayo anaishi kwa sasa hapafanani na yale anayoyafanya, lakini hata...
Muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya amedai wanaume wenye sura ambazo hazina mvuto wanakuwa wanajituma sana kunako 6 x 6 kwa kuwa wanaogopa kuachwa, amesema wanaume wenye sura za kike muda...
Aliyekuwa mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Uwoya, mcheza soka kutoka nchini Burundi Hamad Ndikumana, ameonyesha kujibu mapigo baada ya mwenza wake kuonekana kuolewa, kwa kupost picha...
Siku moja baada ya Elizabeth Michael 'Lulu' kuhukumiwa kifungo cha kutumikia jela miaka miwili kwa kosa la kuua bila kukusudia, mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Frora Mutegoa amesema...
Katika Ukurasa Wake wa FaceBook.
Nakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi kushinda taji la ufalme wa rhymes Tz na kukabidhiwa ile gari maridadi sana ya zawadi aina ya...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti...
Tunahitaji wasanii wa muziki bongo flavior na hip hop nafasi tano zitashindaniwa kwa kucoment na kulike kwa kuacha song yako ulio record au melody kama hujarecod na namba yako ya simu au email...
Katika tasnia ya habri hasa watangazaji ambao sauti zao zinanipa shauku ya kuendelea kuwasikilza wakiwa wanatangaza ni hawa
1.Mabere Makubi ITV
2.Chase Hillary Azam TV
Tupia na wa kwako ambao...
Lazima nikiri kuwa nimekuwa shabiki wako tangu unatoa wimbo wa mtoto wa uswazi ila baadae ukamua kuacha rap na kuamua kuimba niliendelea kukusikiliza lakini sikuvutiwa na style yako mpya...
Mbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band.
Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya...
Personal simfahamu lulu Jana nilisoma habari kafungwa miaka 2 .Today nikasema ngoja niangalie video kwa kweli Ili iliniumiza mno. the abuse of a human right was beyond my imagination .Walivyokuwa...
Wanajamvi,
Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth...
Ndio kwanza anatimiza masaa 24, kifungoni gerezani... Bado masaa mengi sana ukizidisha mara miezi 24... Wote hatujui hali aliyonayo japo tunaweza kukisia.... Lakini ni vema roho yake ikubaliane na...
MSANII wa fi lamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ atapaswa kutumikia theluthi ya kifungo chake ambacho ni miezi mitano gerezani kabla ya mchakato wa rufaa dhidi ya kifungo chake.
Lulu alianza...
Habari weekend wakuu.
Kumekuwa na changamoto anazopambana nazo kwa sasa mwanamuziki baraka da prince kwenye ngoma yake mpya ya sometimes kuwa ngoma yake inapatika youtube mara inapotea yani...
Mcheza sinema za bongo Movie Elizabeth Michael ‘LULU' amekiri kuteswa na jini mahaba ndiyo maana amekuwa akishinda kujizuia kulala bila kufanya ngono hali ambayo anatamani kuiacha lakini...