Afande Sele: Mama Kanumba hana sifa ya kuwa mzazi,anafurahia Lulu kufungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
20839072_1811997845482574_5059125214424596480_n.jpg

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo.

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani hana uchungu na mtoto wa mwenzake kwenda jela akiwa mdogo, huku ambaye alistahili kuhukumiwa ni mtoto wake Kanumba.

"Mama Kanumba nimeshangaa kusikia anashukuru kwamba Lulu kafungwa, mama ambaye hana uchungu hana sifa ya kuwa mzazi, anashukuru kwamba mtoto mdogo anafungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake, ujinga wa mwanae, upuuzi wa mwanae, mkubwa anambaka mtoto mdogo kama yule”, amesema Afande Sele.

Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba yeye kama mzazi mwenye mtoto wa kike anatamani hata maiti ya Kanumba ingefukuliwa ichomwe mto ili kuwa fundisho kwa wanaume wengine wenye matendo kama yake.

Chanzo: EATV

Pia afande Sele alimuumbua vikali, Mrisho Mpoto alipokuwa akimponda kwa post yake ya Instagram na kusema anafuga nywele kama yeye ila ubongo wao umetofautiana sana

View attachment 631113

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo.

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani hana uchungu na mtoto wa mwenzake kwenda jela akiwa mdogo, huku ambaye alistahili kuhukumiwa ni mtoto wake Kanumba.

"Mama Kanumba nimeshangaa kusikia anashukuru kwamba Lulu kafungwa, mama ambaye hana uchungu hana sifa ya kuwa mzazi, anashukuru kwamba mtoto mdogo anafungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake, ujinga wa mwanae, upuuzi wa mwanae, mkubwa anambaka mtoto mdogo kama yule”, amesema Afande Sele.

Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba yeye kama mzazi mwenye mtoto wa kike anatamani hata maiti ya Kanumba ingefukuliwa ichomwe mto ili kuwa fundisho kwa wanaume wengine wenye matendo kama yake.

Chanzo: EATV
Mh lakn kweli
 
Mpeni mama Kanumba break, alikuwa anaishi Kagera haya ya mwanae wala hayafahamu. Mtoto wake ndiyo tegemeo lake Leo ni marehemu.
Huyu afande naye aliyokwisha sema yanatosha tuliomwelewa tumemwelewa akiendelea ongea sasa ataharibu itakuwa anatafuta kiki.
Aliyoyasema juzi yalitosha mengine awaachie wahusika maoni yake abaki nayo mwenyewe...
 
Ameongea kikubwa,mtu aliekomaa kimawazo analiona hili kwa jicho lenye hekima zaidi,lakini ukilichukulia kijuu juu utaona ni halali Lulu kufungwa NA ndio maana hata waliotoa adhabu wamepunguza makali kwa kuliona hili..
Then nahisi ataweza kushinda rufaa akarudi mtaani.
 
View attachment 631113

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo.

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani hana uchungu na mtoto wa mwenzake kwenda jela akiwa mdogo, huku ambaye alistahili kuhukumiwa ni mtoto wake Kanumba.

"Mama Kanumba nimeshangaa kusikia anashukuru kwamba Lulu kafungwa, mama ambaye hana uchungu hana sifa ya kuwa mzazi, anashukuru kwamba mtoto mdogo anafungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake, ujinga wa mwanae, upuuzi wa mwanae, mkubwa anambaka mtoto mdogo kama yule”, amesema Afande Sele.

Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba yeye kama mzazi mwenye mtoto wa kike anatamani hata maiti ya Kanumba ingefukuliwa ichomwe mto ili kuwa fundisho kwa wanaume wengine wenye matendo kama yake.

Chanzo: EATV
Afande sele yupo sahihi sana. Huyu mama si muungwana na hana uchungu na watoto wa wanawake wenzake
 
Back
Top Bottom