Mara paap! Lulu kaachiwa huru!!!!

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,202
Likes
124,346
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,202 124,346 280
22280562_122682508485945_3873310466558132224_n-jpg.630779

Ndio kwanza anatimiza masaa 24, kifungoni gerezani... Bado masaa mengi sana ukizidisha mara miezi 24... Wote hatujui hali aliyonayo japo tunaweza kukisia.... Lakini ni vema roho yake ikubaliane na hii adhabu ili jinamizi la mikosi limkome, akitoka aliache huko huko.... Sema AAAMEN...!!

Kufa kufaana, kuna haters wake wamefurahi sana ila kuna wanafiki wamemtolea machozi ya mamba kumbe mioyoni mwao fikra zao ni tofauti kabisa... Kuna wanaodhani Lulu hatakaa atoke huko gerezani.. Hawa kwasasa wanaongea kila aina ya maneno mbofumbofu.

Kuna hiki kisa cha kweli cha binti ambaye sasa ni maarufu tu Kwenye tasinia ya utangazaji... Huyu maisha yalimpiga kufikia hatua ya kumuibia mwanaume gesti,... Wiki moja baadae alikamatwa na kupelekwa central police DSM, pale alikaa zaidi ya siku kumi kisha akaachiwa huru... Mlalamikaji aliamua kufuta kesi

Nyumba aliyokuwa akiishi (alikuwa na vyumba viwili) akakuta majirani wamevunja na kugawana vitu vyake vyote nguo mpaka samani... Alifika pale asubuhi na kuwaacha na taharuki kubwa kila mmoja akijitetea kivyake, waligawana mpana chupi zake kwa kisingizio kwamba waliambiwa kuwa kahukumiwa kifungo cha maisha jela..... Kwa kifupi walipata aibu ya mwaka!

Lulu ndio kwanza kaanza kutumikia kifungo chake ni cha miaka miwili tu lakini lolote laweza kutokea hapo katikati na akaachiwa huru... Naona kuna mtu mmoja keshamuahidi kuwa 'baba anakuja'. Lulu anaweza kutoka kwa msamaha wa rais (baba?), msamaha wa palore ama kushinda rufani

Huyu hakuwa na mume rasmi Kwahiyo nyumba yake inaweza kuwa chini ya uangalizi wa watu wengine wa karibu yake ndugu ama marafiki..... Hawa wawe makini sana wasishikwe na tamaa za kijinga na kuanza kugawana vitu vyake wakidhani hatakaa atoke ama atafia huko jela (wapo wanaoomba hizi dua)... Hawa wakifanya hivyo watakuja kuumbuka vibaya sana tena bila kutegemea

Lulu alikuwa na mpenzi/wapenzi lakini pia alikuwa na mashoga na mashosti hawa nao waache tamaa, wasimpindue rafiki yao.. Maana wengine wameshaanza mikakati ya kusalandia masemegi.... Kuna watu wana ndimi mbili wakiyanyaka huku nje fasta watampelekea Lulu huko lokupu, na huko nako watachukua ya huko na kuyaleta mtaani
Natahadharisha tu.... Lolote laweza kutokea na LULU akarudi mtaani.
 
DEOD 360

DEOD 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
2,632
Likes
3,694
Points
280
DEOD 360

DEOD 360

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
2,632 3,694 280
View attachment 630779 ndio kwanza anatimiza masaa 24, kifungoni gerezani... Bado masaa mengi sana ukizidisha mara miezi 24... Wote hatujui hali aliyonayo japo tunaweza kukisia.... Lakini ni vema roho yake ikubaliane na hii adhabu ili jinamizi la mikosi limkome, akitoka aliache huko huko.... Sema AAAMEN...!!
Kufa kufaana, kuna haters wake wamefurahi sana ila kuna wanafiki wamemtolea machozi ya mamba kumbe mioyoni mwao fikra zao ni tofauti kabisa... Kuna wanaodhani Lulu hatakaa atoke huko gerezani.. Hawa kwasasa wanaongea kila aina ya maneno mbofumbofu.......
Kuna hiki kisa cha kweli cha binti ambaye sasa ni maarufu tu Kwenye tasinia ya utangazaji... Huyu maisha yalimpiga kufikia hatua ya kumuibia mwanaume gesti,... Wiki moja baadae alikamatwa na kupelekwa central police DSM, pale alikaa zaidi ya siku kumi kisha akaachiwa huru... Mlalamikaji aliamua kufuta kesi
Nyumba aliyokuwa akiishi (alikuwa na vyumba viwili) akakuta majirani wamevunja na kugawana vitu vyake vyote nguo mpaka samani... Alifika pale asubuhi na kuwaacha na taharuki kubwa kila mmoja akijitetea kivyake, waligawana mpana chupi zake kwa kisingizio kwamba waliambiwa kuwa kahukumiwa kifungo cha maisha jela..... Kwa kifupi walipata aibu ya mwaka!

Lulu ndio kwanza kaanza kutumikia kifungo chake ni cha miaka miwili tu lakini lolote laweza kutokea hapo katikati na akaachiwa huru... Naona kuna **** mmoja keshamuahidi kuwa 'baba anakuja'...... Lulu anaweza kutoka kwa msamaha wa rais (baba?), msamaha wa palore ama kushinda rufani
Huyu hakuwa na mume rasmi Kwahiyo nyumba yake inaweza kuwa chini ya uangalizi wa watu wengine wa karibu yake ndugu ama marafiki..... Hawa wawe makini sana wasishikwe na tamaa za kijinga na kuanza kugawana vitu vyake wakidhani hatakaa atoke ama atafia huko jela (wapo wanaoomba hizi dua)... Hawa wakifanya hivyo watakuja kuumbuka vibaya sana tena bila kutegemea
Lulu alikuwa na mpenzi/wapenzi lakini pia alikuwa na mashoga na mashosti hawa nao waache tamaa, wasimpindue rafiki yao.. Maana wengine wameshaanza mikakati ya kusalandia masemegi.... Kuna watu wana ndimi mbili wakiyanyaka huku nje fasta watampelekea Lulu huko lokupu, na huko nako watachukua ya huko na kuyaleta mtaani
Natahadharisha tu.... Lolote laweza kutokea na LULU akarudi mtaani.....
aombe sana Mungu azikute salama Mali zake maana mama ake Yule du

kuhusu msamaha nasikia kosa lake haliruhusu kupata msamaha sijui ni kweli ama but Mungu ampe wepesi waliowengu wanamuhuria kinafiki
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,202
Likes
124,346
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,202 124,346 280
mshana jr ww ni mtumishi wa Mungu sio naona kama unatabiri vile
Dunia ina mengi na mipango ya Mungu si ya mwanadamu, kilichofungwa mbinguni na duniani kimefungwa na kilichofunguliwa mbinguni na duniani kiko huru..
 
HOMBOY

HOMBOY

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
1,440
Likes
910
Points
280
HOMBOY

HOMBOY

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
1,440 910 280
Kweli kabisa, infact miaka miwili siyo mingi kabisa, na akitoka atakua Lulu kweli kweli.
naambiwa miaka miwili jela ni kama mwaka mmoja,wanahesabu day & night
 
Lyon Lee

Lyon Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Messages
31,919
Likes
119,087
Points
280
Lyon Lee

Lyon Lee

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2013
31,919 119,087 280
Huwa naheshimu mabandiko yako mkuu ...ngoja nirudie kusoma ikitokea la kutokea niwe wa kwanza kuwakumbusha wanajamvi
 
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
8,771
Likes
12,289
Points
280
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
8,771 12,289 280
naambiwa miaka miwili jela ni kama mwaka mmoja,wanahesabu day & night
Hapana Mkuu, hawahesabu hivyo, kuna Uzi unaelezea vizuri hilo zoezi, hebu utafute! In short Lulu atakaa gerezani kwa miezi 15/16 hivi.
 
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
791
Likes
1,277
Points
180
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
791 1,277 180
Na litokee tuu
Mungu amtie nguvu ktk kipindi hichi kigumu apitiacho
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,903
Likes
1,856
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,903 1,856 280
Dunia ina mengi na mipango ya Mungu si ya mwanadamu, kilichofungwa mbinguni na duniani kimefungwa na kilichofunguliwa mbinguni na duniani kiko huru..
mshana jr umejibu swali nusu ni mtumishi wa Mungu
 
Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,507