Asante Dogo Janja...


T

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Messages
406
Likes
459
Points
80
T

Travoo

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2014
406 459 80
Lazima nikiri kuwa nimekuwa shabiki wako tangu unatoa wimbo wa mtoto wa uswazi ila baadae ukamua kuacha rap na kuamua kuimba niliendelea kukusikiliza lakini sikuvutiwa na style yako mpya.

"Nimeshamaliza" ndo kazi yako mpya hakika huyu ndo janja niliyekuwa nasikiliza nyimbo zake na ingizo la Aslay hakika limeleta chachu katika wimbo japo amekukimbiza sana katika uwanja wako wa nyumbani..

We ni rapa achana na mzee wako Madee anayekushauri uimbe kwani hata rapa INA pesa tazama WEUSI, Fid Q nk

Hongeren kwa kazi nzuri...
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,099
Likes
17,802
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,099 17,802 280
"Nimeshamaliza" ndo kazi mpya ya huyu jamaa,sio siri huyu ndo Janja niliyekuwa shabiki wake tangu ana miaka 10.Uliopoanza imba kama ******** Madee ilibidi nikae pembeni..

Sema huyu Aslay kidogo akuvunje kiuno kwenye ngoma yako mwenyewe..

Hongeren kwa kazi nzuri...
Thread haina kichwa wala miguu.

Rubbish
 
Granta

Granta

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
3,901
Likes
4,009
Points
280
Granta

Granta

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
3,901 4,009 280
"Nimeshamaliza" ndo kazi mpya ya huyu jamaa,sio siri huyu ndo Janja niliyekuwa shabiki wake tangu ana miaka 10.Uliopoanza imba kama ******** Madee ilibidi nikae pembeni..

Sema huyu Aslay kidogo akuvunje kiuno kwenye ngoma yako mwenyewe..

Hongeren kwa kazi nzuri...
Unawahi wapi, andika kitu kikaeleweka
 
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
778
Likes
1,236
Points
180
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
778 1,236 180
Dadeeki hueleweki
 
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Messages
1,365
Likes
2,007
Points
280
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2013
1,365 2,007 280
"Ushamaliza"..,
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
27,791
Likes
76,349
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
27,791 76,349 280
Tuwekeeni tuisikie na sisi
 
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
10,788
Likes
15,127
Points
280
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
10,788 15,127 280
Eti ndikumana kafa?
 
Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Messages
3,838
Likes
9,811
Points
280
Age
46
Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2014
3,838 9,811 280
Aliyeelewa anisaidie kunielewesha tafadhali
 
NAHUJA

NAHUJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
21,457
Likes
24,907
Points
280
NAHUJA

NAHUJA

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
21,457 24,907 280
Ndie aliyemuoa aliyekuwa mke wa Marehemu Ndikumana?
 
uporo wa wali ndondo

uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,409
Likes
1,319
Points
280
uporo wa wali ndondo

uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,409 1,319 280
Nimekuja mbiombio nikadhania katoa rambirambi ya milioni 900 itapendeza.
 

Forum statistics

Threads 1,214,128
Members 462,498
Posts 28,502,281