Video queen Sasha, anadai kuchumbiwa na mzungu ambaye ametajiwa mahari ya mil 40 na wazazi wake na amekubali kuitoa hivyo anatarajiwa kufunga ndoa mwakani mwezi wa tatu.
"Nashukuru nimepata...
Beauty with brain!
Hongera dogo, Mungu akusimamie katika kazi za mikono yako.
Hamisa leo amepost kwenye ukurasa wake wa IG kuwa amekuwa akifanya biashara na watu ya kuuza nguo kwa miaka minne...
Nyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.
Nimemfuatilia katika Shows zake karibia zote za Tigo Fiesta na kugundua kwamba mara nyingi huingia Ukumbini au pale Stejini akiwa na mienokano ya aina hii:
Kabebwa katika Wheelchair
Kakunja mkono...
Kutoka amplifier ya clouds fm amesikika kiongozi wa msondo ngoma akidai wcb wawalipe 300 ml kwa kosa la kutumia kionjo cha nyimbo Yao kinyume na sheria kwenye wimbo wao wa "zilipendwa" kabla ya...
Rapper wa kike kutoka Tanzania Aitwaye Rosa Ree usiku wa Jana ameendelea kuonyesha kuwa yeye ndio mkali wa Kurap kwa upande wa wadada Afrika baada ya kuachia Video kali ya wimbo wake unaitwa Dow...
Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Uingereza wa ajili ya ziara ya vyombo vya habari,ambapo leo alikuwa akihojiwa na mtangazaji Salim Kikeke wa BBC Swahili
Diamond kwenye mahojiano hayo alisema...
Diamond Platnumz haishi kutuamsha na habari kubwa zinazohusiana na nyimbo zake kila kukicha.
Baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘Hallelujah’ ambao amewashirikisha Morgan Heritage kuweka rekodi...
Habari wakuu, Naomba kuuliza kama yanayosemwa na watu wengi kuwa kucha husababisha "k" kutema.. kuna picha mbali mbali Zari ameonekana na kucha ndefu, swali. Ni je kucha ndefu ndio chanzo cha...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Leo Novemba 10, 2017 inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya kesi ya matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na mwanamitindo Hamisa Mobeto dhidi ya msanii maarufu nchini, Nassib...
Nimeshindwa kujizuia nimeona nitie neno kidogo kuhusu huyu dogo baada ya kusikiliza mapini yake non-stop.
Kwanza kabisa hakuna kitu kizuri kama kufanya kitu unachokipenda na uwe unakijua, huyu...
Bado ...yule mdada mrembo aliyeolewa na proffesional footballer harusi kubwa ya kifahali ati ameolewa tena na bw mdogo yule?kwa lipi hasa?amekosa nini mrembo yule?
Bado siamini huenda ni movie...
Kadri siku zinavyozidi kuyoyoma, jina la hamisa mobetto linazidi kuruka anga za kimataifa. Scandal ya kuzaa na diamond na bifu lake na Zari boss lady limemuweka mrembo huyo kwenye ramani nzuri ya...
Habari za ijumaa wakuu na wadau wa jukwaa hili wasalam
Kuna hii tabia ya baadhi ya wasanii wa Tanzania hasa wa zamani kung'ang'ania kurudi kwenye game wakati mda wao umeshapita.
Kila kitu na...
Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada...
Baada ya Rose Muhando kupotea kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa muziki wa injili, aliyekuwa meneja wake, Alex Msama amefunguka kumrudisha kwenye chati kama zamani kwani hivi sasa amebadilika...
Ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja yabainika kuwa reel na sio real, Uwoya ampora Wema dili la million 400 toka kituo kikubwa cha TV barani Afrika !
Nyuma ya sarakasi ya kile kinachosemekana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.