Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ndugu wa marehemu Rugemarila Mutahaba embu mumsitiri huyu mjomba Mpoto maana inastaajabisha sana. Mpeni viatu akimaliza kuzika angalau arudi na viatu huku dar. Yani mpaka kuposti picha yake...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Naamini huyu jamaa ana mashabiki wa kutosha katika rika zote, sijajua mafanikio yake kiuchumi ila katika muziki namuona ni moja ya wasanii waliofanikiwa sana katika tungo zao pamoja na muziki wao...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Aisee mecheka, kumbe host mwenye shoo ya WCB wasaf beach part ni clouds ikiongozwa na Ruge, ubuyu huo nimepata kwa kwa mtu wa karibu wa Ruby, mana naskia ruby alitaka kushriki bure kabisa lakini...
13 Reactions
97 Replies
14K Views
Ebanae leo nilikutana na jamaa kaniambia pole kwa msiba, nikamuuliza msiba gani? Kaniambia eti wa Ruge,sasa nikajiuliza Ruge ananihusu nini mimi? Najua kasaidia wengi, wasanii, wafanyakazi wa...
13 Reactions
23 Replies
6K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Ruge ni binadamu anayependa sana ligi wakati huohuo hawezi ligi na hajawahi kushinda ligi hata moja toka aanze...
13 Reactions
64 Replies
13K Views
Inashangaza kuona watanzania wanamshutumu msanii diamond kisa sio hajaenda msibani, Bali tu hajaposti chochote juu ya kifo cha legend wa bongo fleva Ruge mtahaba R.I.P. Lakini Mimi nimefatilia...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
--- Sent from my Iphone using Tapatalk
2 Reactions
155 Replies
25K Views
Kutokea Bukoba Moja kwa moja clouds fm wana report tukio zima la kuupokea mwili wa Ruge Mutahaba, kuanzia airport kupitia bukoba kati kati ya mji mpaka kiziru kabale kwao, R.I.P Ruge Mutahaba
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Yaani nashindwaga kuelewa haya mambo mimi! 1_wanaomlaumu Chibu Dee ndiyo wanaowadis singo maza kila siku.mnajua mateso aliyoteseka uswahilini na mzazi mmoja kijana,masimango na kejeli alizopata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali iliyoshtua wengi, Mtangazaji wa Clouds Tv , Zamaradi Mketema, ametangaza hadharani juu ya uhusiano wa kimapenzi kati yake na "BOSS" wake Ruge Mutahaba. Kupitia ukurasa wake wa...
1 Reactions
197 Replies
94K Views
Viongozi wa vyama mbali mbali na serikali pamoja na wasanii mbalimbali walijitokeza kweny hafla ya kumuuga KAMANDA mbona Dr shika hakuonekana au nae alikuwa na bifu na marehemu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa ruge mutahaba zamaradi mketema ajiunga rasmi na wasafi TV.
3 Reactions
186 Replies
82K Views
Well, sote tunajua kifo ni sehemu ya maisha na kwa yakini kifo ni wajibu kwa kila chenye uhai. Kimsingi kifo kina definition nyingi sana kwa mwanaadamu na hizi definition zinatokana na imani zetu...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Wasalaam wana jamvi. Mama wa msanii maarufu na tajiri kuliko wote nchi Diamond Platimuz ameweka wazi sababu za mwanae kutoonekana kwenye msiba na mazishi ya msanii mwenzie Godzilla. Mama Diamond...
7 Reactions
154 Replies
22K Views
1.smooth vibes project Hapo walifanikiwa kutoka kimuziki wanamuziki mbalimbali kama jaydee,rayc q chief, mr paul, pauline zongo stara thomas, k basil 2.prime time promotion Hapa tuliweza kupata...
13 Reactions
52 Replies
10K Views
Pekupeku kama mpoto kwenye hili amefell Post yake imekaa vibaya....
5 Reactions
344 Replies
51K Views
Ruge Mutahaba anaweza kuwa ametajwa kwenye masakata mengi ya ubaya dhidi ya wasanii, akibebeshwa lawama kuliko mtu mwingine yeyote kwenye tasnia ya muziki, lakini kwake ni mambo matatu tu ndiyo...
5 Reactions
33 Replies
13K Views
Joseph Mbilinyi TAARIFA YA MASIKITIKO: WALIKUJA NA KUOMBA MUAFAKA NASI TUKAKUBALI KWA AJILI YA AMANI NA MAENDELEO YA SANAA, NAMI KAMA KINEGA MWANDAMIZI NA PIA KIONGOZI MBUNGE) NIKACHUKUA...
0 Reactions
69 Replies
11K Views
Safi sana, 2012 funguka, dunia yako, chaguo lako, chagua kumpenda aliyekuwa adui yako
0 Reactions
26 Replies
6K Views
7.2 Harakati za kudai haki za wasanii. Mheshimiwa Spika, sanaa imeendelea kufanywa mtaji wa biashara na watu wachache ambao wanatumia nguvu waliyo nayo katika jamii na uwezo wao wa kifedha katika...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Back
Top Bottom