Live streaming kutoka Bukoba: Mapokezi ya Mwili wa Ruge Mutahaba

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,656
30,032
Kutokea Bukoba Moja kwa moja clouds fm wana report tukio zima la kuupokea mwili wa Ruge Mutahaba, kuanzia airport kupitia bukoba kati kati ya mji mpaka kiziru kabale kwao,

R.I.P Ruge Mutahaba

 
Ndugu yetu kazungushwa sana , wampumzishe TU, Inatosha

Sent from my Iphone using Tapatalk
Kwa viunga vingine vya Bongo,msiba tayari washaanza kuusahau no more stori tena mtaani,no trending daah hapa duniani ni rahisi sana kusahaulika ukifa hata uwe nani
 
Back
Top Bottom