Diamond platinumz anahukumiwa kwa Social media

Nedago

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
908
1,349
Inashangaza kuona watanzania wanamshutumu msanii diamond kisa sio hajaenda msibani,
Bali tu hajaposti chochote juu ya kifo cha legend wa bongo fleva Ruge mtahaba R.I.P.
Lakini Mimi nimefatilia hili swala nimeona wasanii wengi wameposti kuhusu kifo hiki tangu siku ya kwanza,
lakini hadi Leo wengi wao hawajagusa msibani,
je misiba imehamia kwenye social medias? Kwamba ukiposti basi umemaliza msiba?,
kama ni hivyo Sawa,lakini sio utamaduni wetu huo,
Na huwezi kumuhukumu mtu wakati hivyo huu msiba ni mkubwa na una siku nyingi za maombolezo,
Kama sio Jana kuna Leo na hadi jumatatu kule kijijini kwa marehemu,
Nadhani watu wangesuburi baada ya msiba kuisha ndipo tumseme lakini now ni mapema Sana,
Nadhani na nyie ni mashahidi kuna wasanii wengi wameposti lakini hawajaenda hadi wakati naandika uzi huu,
mfano,
alikiba.
Vanessa.
sugu.
shetta.
jux.
joh makini nk.
Mbona hao hawasemwi au wao si wasanii wa muhimu?
Au wamemaliza kwenye insta?.
mwacheni tuone hadi jumatatu then jumanne ndio watu mumseme,na si yeye peke yake na wengine wengi,ikifika jumanne tutawajua,
Vipi kuhusu lady j dee? Au yeye haumuhusu?
Mbona Hasemwi? Inabidi muwe specific why diamond?.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
 
Diamond hana pakutokea katika hili bora asiende msibani na aendelee kukaa kimya,
ile video yake anacheka huku ameshikilia chupa ya pepsi baada ya fiesta kuahirishwa ime maliza kila kitu.
nadhan hata watangazaji wa clouds watamuona mnafiki akienda maana alionyesha dharau kubwa sana,
 
embu ngoja tuendelee kuwasubiria hao mastering waje
 
Diamond hana pakutokea katika hili bora asiende msibani na aendelee kukaa kimya,
ile video yake anacheka huku ameshikilia chupa ya pepsi baada ya fiesta kuahirishwa ime maliza kila kitu.
nadhan hata watangazaji wa clouds watamuona mnafiki akienda maana alionyesha dharau kubwa sana,
Kwaio itafanya asiende msibani mbona Muheshimiwa Fool humsemi hana pakutokea,Alimtetea bashite kuvamiwa clouds.
 
Kwa kifupi tu lazima tukubali Diamond ni mtu mwenye nguvu sana...Ambaye haamini ataona ikitokea ameenda msibani, kila kitu kitabadilika mitandaoni msibani mpaka mitaani. Diamond is mega supastaa.
 
Diamond ni mtu mkubwa kuzidi ruge....ila ruge alikuwa na ubaguz sana huyo jamaa....aliweka nguvu kwa mapunga alaf vipaj akavizima...kwa nguvu ya ruge isingekuwa mond kupitia mlango wa nyuma sa hv angekuwa hata hasikiki....Ruge kafanya safar ya mziki ya Mond iwe ya hustling sana..
asiende tu msiban mana atazua kizaazaa watu wanaweza kutelekez Maiti na kumkimbilia mzee mond...kizizi cha mond ni amsha sana
 
Umejuaje na siku ina masaa 24?
Kwani wanaolaumu wapo msibani 24hrs? Alikiba na wasanii niliowataja hawawezi kwenda msibani then wasipostiwe kwenye social medias acheni uchuro wenu.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
 
Kwani akipost ndio ndugu yenu ata fufuka?
Pambana na hali yako

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu Unajua ulichopost?not relevant to the topic.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
 
Usije kushanga basata nao wakamfutia mondi usajili,kwa sababu ya kutokwenda msibani...(joke)

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kufanya ujinga huo,uyo walisha mshindwa,wakimfungia saizi kikao kijacho cha bunge basata watatafuta pakutokea maana diamond ana nguvu Sana hata bungeni,hukuona kikao cha bunge kilichopita basata walipohojiwa wamepata wapi mamlaka ya kumfungia diamond na wasafi?wakapigwa Stop wasirudie.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom