Nimewacheki Mademu, Celebrities, Singo Maza, Madanga na Malaya waliokubuhu huko Nigeria, wala sijaenda pengine
Jinsi walivyoendelea, kila mwanamke ana maisha yake... wanamiliki Majumba...
Salaam Wakuu.
Tukiachana na ishu ya lowassa kurudi ccm,maana si mwanaharakati na ameshindwa mikikimikiki ya kule,maana kazeeka tayari kule kuna hitaji damu ya moto inayotembea kwa speed Sana sio...
Kwako mr Kibonde,
Siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa Lady Jaydee, yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo na kifikra hata kimaongezi. Lakini yule...
Na Kalunde Jamal
Onyesho la mwanamuziki Judith Wambura Mbibo, maarufu Lady Jaydee, la kutimiza miaka 13 ndani ya tasnia ya muziki limekuwa la kipekee baada ya kuibuka Pedezyee aliyekuwa akimtunza...
Shame on u Kibonde sikutegemea unaweza kufanya vitu kama ulivyofanya leo pale ubungo asbh uuuuh ivi nn maana ya public figure ya Tz hii mnatuonyesha nn duh Polen clouds maana jamaa kachemsha...
Watanzania wana tabia ya kujikweza, hii tabia imesambaa zaid kwa wasanii,
Leo hii kwa magari ya kuazima na project za watu kupitia migongo yao wanahadaa watu kwamba ni matajiri, wanafika hatua ya...
Wanabodi,
Nami niko hapa viwanja vya Karimjee katika kumuaga Ruge Mutahaba.
hivyo tunapomuaga kaka wa Taifa, Ruge Mutahaba, nimewasikia wengi wakisema pengo lake halitazibika, sii kweli, kwa sisi...
Hawa Jamaa Sijui siku izi wako wapi , ni waongozaji na watunzi wa movie za kibongo, nakumbuka zamani walikuwa moto wa kuotea mbali kwenye filamu za kibongo, sio siri Jamaa walikuwa wananikosha...
Hatimaye wajina waje mie... Maarufu kama Poshy queen kafungua duka lake... Ni kama muonavyo pichani.
Duka lipo maeneo ya sinza palestina.. Kwa jina Poshy's secret
Nyote mnakaribishwa
Kila la...
Ndugu yetu huyu amekuwa akimuandama sana Diamond Platnumz, huwezi kuta akisuport kazi zake zaidi ya kuangalia mazaifu yake na makosa yake tu, huyu huyu kitenge baada ya Diamond kuachana na mama...
Heey
The so called Boss lady huyo wa kenya ameonesha kukerwa na wanaume wanao-cheat, kupitia page yake ya insta amewataka wadada wasifanye mapenzi na wanaume.. Wanaume wakose pa kwenda waanze...
Aman iwe juu yenu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Leo nimekuletea uchambuz ili ujue ni kwanini kaka yetu aliwezana na wasanii wachanga na akishindwana kabisa na wasanii wakongwe...
.
By Sangu J
Wakati taifa hususani sisi vijana tukiwa kwenye huzuni kubwa kupotelewa kwa ndugu yetu #Ruge Mutahaba mimi napendelea kumuita ( KING OF YOUTH) kwa uhodari wa kuhakikisha anajitoa...
Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.
Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?
Anaingiaje kwenye public toilets?
Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa...
Mwana wa kike wa pekee wa nyota wa muziki wa Pop marehemu Michael Jackson , Paris amesema kuwa anaamini kwamba babake aliuawa.
Katika mahojiano yake ya kwanza, Paris aliambia Rolling Stones ana...
Unaweza kuangalia video yote lakini kama shauku yako ni kufahamu Queen Darleen kaongea nini kuhusu baba yao, basi unaweza kwenda moja kwa moja Dakika 17:10 !! Mistari ninayoikumbuka, kama ni kweli...
SHIGONGO: Mimi, Babu Tale na Ruge
NI kweli Shilawadu wameniomba msamaha na mimi ninawashukuru sana, huo ndiyo uungwana, unapomkosea mtu, omba samahani, YAMEKWISHA! Lakini siyo vibaya nikisimulia...
Moja kati ya vitu vigumu barani Africa nikua mkweli, kusema ukweli ule unao udhania au kuufikiria kwa watu wengine ndio hua tatizo kubwa.
Dudubaya yeye toka moyoni kashajitanabaisha kua hawapendi...
Habari ndugu wadau wa Jf,
Nikiwa napitia mitandao mbalimbali Jana
Nikaona tangazo la wasafi festival litakalo fanyika huko nchini Oman,mwezi wa nne.
Kwakweli nikafurahi kuona vijana hawa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.