MnyooshajiMkuu
Member
- Aug 19, 2015
- 48
- 29
Katika hali iliyoshtua wengi, Mtangazaji wa Clouds Tv , Zamaradi Mketema, ametangaza hadharani juu ya uhusiano wa kimapenzi kati yake na "BOSS" wake Ruge Mutahaba.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zamaradi ameweka picha inayoweka wazi Mahaba ya wawili hao, picha ambayo ilipigwa wako was eneo moja la faragha.
Sambamba na picha hiyo Zamaradi aliandika " Your Mine, I am Yours. And that is Enough. My love " (Wewe ni wangu, Mimi ni wako. Hilo linatosha MPENZI WANGU).
Zamaradi ambae ni Mama wa mtoto mmoja , ameshangaza wengi kwa kuanika mahusiano hayo na "BOSS" wake. Ruge Mutahaba huwa ni mtu msiri sana, hivyo kukubali kuweka wazi mapenzi yake na Zamaradi inaonyesha jinsi gani amezama kwenye penzi la mermaid huyo wa Kitanga.