Ruge noma, Wasafi beach part ni yake/yao clouds

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,028
2,000
Aisee mecheka, kumbe host mwenye shoo ya WCB wasaf beach part ni clouds ikiongozwa na Ruge, ubuyu huo nimepata kwa kwa mtu wa karibu wa Ruby, mana naskia ruby alitaka kushriki bure kabisa lakini ruge aliwakatalia wasaf classic.
Nilichojifunza inawezekana kweli ruge ni mtu wa fursa na ideas za kumake money.aliwapa idea wasafi ya beach part, akaingia nao dau, sasa wao wamekuwa kama waalikwa.

Wahaya ni vichwa na Ruge ndo the think tank la clouds.

Sasa diamond promo zote zile kumbe unamfanyia promo RUGE.
Big up RUGE
 
Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,555
2,000
Rugu huyu mshkaji namkubali sana wakati vijana wanasema hela ngumu mitaani ruge anakuja kuzisomba na masandaruzi na kusepa

Jamani maisha siyo magumu kama tunavyo aminishwa ishu ni kuwa na idea ya kupata hela

Ukiwa na kampani ya watu maskini na wewe unakuwa maskini

Ukiwa na kampani ya wanasiasa na wewe unakuwa mwanasiasa

Ukiwa na kampani ya matajiri na wewe unakuwa tajiri

Ukiwa na kampani ya watu wa fursa na wew unakuwa mtu wa fursa

Maisha unayo ishi wewe ndiyo uliyo yachangua!

Vijana tuachane na siasa za bongo tutafute hela
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
23,025

Wewe unafanya kazi gani?
 
Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,860
2,000
Aisee mecheka, kumbe host mwenye shoo ya WCB wasaf beach part ni clouds ikiongozwa na Ruge, ubuyu huo nimepata kwa kwa mtu wa karibu wa Ruby, mana naskia ruby alitaka kushriki bure kabisa lakini ruge aliwakatalia wasaf classic.
Nilichojifunza inawezekana kweli ruge ni mtu wa fursa na ideas za kumake money.aliwapa idea wasafi ya beach part, akaingia nao dau, sasa wao wamekuwa kama waalikwa.

Wahaya ni vichwa na Ruge ndo the think tank la clouds.

Sasa diamond promo zote zile kumbe unamfanyia promo RUGE.
Big up RUGE
Sasa huo nao ni ukichwa?. Watanzania sijui tumerogwa na nani. Aisee
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
173,904
2,000
Hakuna tatizo hasa pale maendeleo ya msanii husika yanapoonekana. Nyumba anazotoa msaada au kununua ni matokeo ya show zake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom