Genius wa boxing Floyd Sinclair Joy Mayweather azidi kuonesha jeuri ya fedha kwa kuonesha dege lake la tano kulimiliki kwa sababu ameona ndege nne hazimtoshi yeye pamoja na wapambe wake.
Vilevile...
Kwa ufupi tu tazama sana picha zako za udogoni mapozi Na the way ulivyokuwa una behave alafu oanisha Na maisha yako ya sasa utagundua vitu vingi,
Yale maisha/Michezo uliyokuwa Unaishi udogoni...
Mahakama ya Kinondoni yamkuta na hatia mwanamuziki nguli wa kizazi kipya Judith Wambura a.K.a Lady Jay Dee kwa kumkashifu mmoja ya wakurugenzi wa Redio ya Clouds Fm.
Aidha Mahakama hiyo imemtaka...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza kusitisha usajili wa Msanii Godfrey Tumaini (Dudubaya) kuanzia leo tarehe 28/02/2019
Sent using Jamii Forums mobile app
Waymaker” By Sinach Crosses 100 Million Views On Youtube! .
Nigerian Gospel music icon, Sinach has crossed the 100 Million views mark on Youtube for the song “Waymaker”; a feat only 2 other...
Sote tumeshuhudia namna msiba wa Ruge na sarakasi zake unavyo endelea. Binafsi naiona nguvu ya Media katika shughuli za msiba huu. Kumekuwa na hamasa kubwa ya watu juu ya msiba huu, hii naamini ni...
Dada wa taifa, celebrity wa dunia kila habari ya hii dunia lazma anaijua, mamaa muzungu page yake naipitia pitia sana kwakua nami ni mdau wa ubuyu, ila nimejikuta nashtuka kuona tangu enzi na enzi...
Good day Fareed Kubanda!
Najua unafahamu kwamba sikuvishi kiremba cha ukoka ila nasema ukweli huu hapa kwamba, wewe ni the most influential hip hop artist to ever walk in Tanzania... Wengi wetu...
Miaka ya nyuma kidogo huyu Amber Lulu alikuwa changudoa mchafu mchafu anadanga hapo ambiance ,miguu haieleweki imekomaa komaa ,sura nzito kama futari ya magimbi, tumbo kubwa,maziwa yametepeta kama...
Haya wadau, Leo nahitaji likes 200 tu nishushe ubuyu utakaotisa jiji la Makonda , na si mnajua Mimi huwa sisemi uongo? Umbea wangu uko verified . So stay tuned
So Kama unampenda warumi na mko...
Kwa mujibu wa Forbes mrembo na binti mdogo kabisa katika familia ya Kardashian, Kylie Jenner ameweka record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi kuwahi kutokea Duniani akiwa na miaka 21 tu
Akipiku record...
Sifahamu nianzie wapi na habari hii. Tulipokuwa wadogo jirani yetu alikuwa mama mrembo tukizoea kumwita auntie. Auntie alikuwa mzaliwa wa mikoa yenye wanawake warembo. Auntie aliumbika, alikuwa...
Poleni sana na msiba wa Kibonde.
Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele...
Salute..
Aisee naandika haya toka moyoni kabisa ndaaani kulee. Nampenda sana Lucky Dube nyimbo na mfumo wa maisha yake. Nimekua nasikiliza nyimbo,interview na shoo zake zinanivutia sana.
Katika...
Mtangazaji maarufu Ephraim Kibonde amefiwa na mkewe usiku huu katika hospitali ya Hindu Mandal. Bwana ametoa Bwana ametwaa. Amen.
======
Mke wa Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi...
Nimewacheki Mademu, Celebrities, Singo Maza, Madanga na Malaya waliokubuhu huko Nigeria, wala sijaenda pengine
Jinsi walivyoendelea, kila mwanamke ana maisha yake... wanamiliki Majumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.