Sugu aibuka upya, atangaza kuendelea bifu na Ruge, Clouds

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
114
Joseph Mbilinyi

TAARIFA YA MASIKITIKO:

WALIKUJA NA KUOMBA MUAFAKA NASI TUKAKUBALI KWA AJILI YA AMANI NA MAENDELEO YA SANAA, NAMI KAMA KINEGA MWANDAMIZI NA PIA KIONGOZI MBUNGE) NIKACHUKUA MAAMUZI MAGUMU YALIYOLETA MACHUNGU YA LAWAMA TOKA KWA MASHABIKI WETU AMBAO KIMSINGI NILIWAELEWA AND I TOOK EVERYTHING AS A MAN...

BADO NASIMAMIA KUWA CHOCHOTE NILICHOFANYA NILIAMINI KUWA NILIKUWA NAFANYA KITU POSITIVE, LAKINI KUMBE WENZETU HAWAKUWA NA NIA NJEMA WALA DHAMIRA YA KWELI YA KUTAKA MUAFAKA BALI WALIKUWA NA AJENDA ZAO ZINGINE, MAANA MPAKA LEO HII HAKUNA HATA MOJA WALILOTEKELEZA KUTOKANA NA ULE MUAFAKA, NA ZAIDI MARA WANAKUJA NA HILI LINGINE LA KUWASHTAKI MAPACHA NA HUKU NI WAO WALIOSEMA TUNAANZA 'MWANZO MPYA'...A

MBAPO MIMI NILISEMA HAKUNA VITA ISIYOKUWA NA MALENGO NA NILIAMINI KWA DHATI MALENGO YETU SASA YALIKUWA YAMETIMIA...SASA WAO WANAPOJARIBU TENA KUVURUGA UTEKELEZAJI WA MALENGO BASI HAKIKA MALENGO YANAKUWA HAYAJATIMIA NA MAPAMBANO 'INALAZIMIKA' YAENDELEE...

My take:
Hili nililiona tangu mwanzo, kwani Kenge ni Kenge tu (RUGE) hawezi Kuwa Mamba!
 
Mmmh kwa kumbukumbu zangu, nakumbuka Mh.Sugu alituambia kuwa yeye ndiye alimfata Mh.Nchimbi na kumueleza nia yake ya kutaka kumaliza mgogoro wao kati yake yeye Sugu na Ruge ndipo wakaamua kulifanya hivyo sasa iweje tena leo hii anarudi anatuambia kuwa Sugu ndiye alifatwa kuombwa suluhu; hebu mniweke sawa hapa mchakato huu wa suluhu ulivyoanza"
 
kama hujui uulize kama ulivyofanya ktk maneno yako ya mwisho, siyo kuja na majibu then maswali.
 
Sugu akumbuke ameshatia sign,sasa akileta vurugu anakiuka mkataba waliotia sign atafungwa,ruge mjanja sana,sugu ulikua ujawashirikisha vinega ndio maana muafaka unateteleka,wazo kama hilo baada ya kupewa na nchimbi kwanza sugu uneitisha kikao na vinega mkatoka na msimamo m1.Ona sasa ushaanza tena na fb watu kina lissu watakuona mjinga,jipange kama ushaamua kuvua nguo lazima uyaoge maji.
 
Sugu nawewe usituchanganye kwa ubinafsi wako..kwani wakati unasaini ulisaini wewe kama sugu au kwa niaba ya vinega.?
 
mi nahisi hawa wanataka kutengeneza hela kupitia njia ya beef wote lao moja tuuu..wasituzingueee
 
Jf ya siku hizi hadi chekechea nao wamo. Nakumbuka ilipokuwa JamboForums hoja zilikuwa hoja kweli. Mambo ya kijinga namna hii mjitu inazuka tu na kupost yalikuwa yako Darhotwire. Sasa do!? Mambo siyo shwari kabisa
 
Wewe unataka wimbo wa taifa upigwe disco???acha hizo kwanza angalia hili jukwaa gani...
 
kama hujui uulize kama ulivyofanya ktk maneno yako ya mwisho, siyo kuja na majibu then maswali.

Kuna namna nyingi za kuuliza maswali; hapo mwanzo nilitoa kile nkikumbukacho kuhusiana na suala hilo sasa swali limefata ili kuhakiki kile kilichopo kichwani mwangu lkn si kweli kwamba nimejipa majibu ingekua hivyo nicngekua na haja ya kuuliza hapo jukumu lako ni kupinga na kunielewesha au kukubaliana na suala hilo kwamba kweli ilikua hivyo"
 
ooooh pumzi ndefu maana nimechoka nasubili part 3 ya hii filam yya kibongo
 
jameni...hv vinega ni nini? Na bifu lao hadi kwenda kortin ni juu ya nini?
 
Yaani huyo Sugu hana msimamo alifikiria hiyo pipi ona sasa mtu mzima badala afanye kazi yake anahangaika huku na kule macho yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom