Mpoto katoka DAR hadi BUKOBA PEKUPEKU

Anzisha thread yako kuhusu huyo barnaba, kwanza barnaba ndio nani?
halafu mbona simple sana. Nawewe tengeneza jamii forum ya kwako ili uwe huru na mamlaka ya kuzuia wengine wasitoe maoni ambayo wewe binafsi huyataki kwenye mada zako.

Kwani we familia ya RuGe unaundugu nayo mpaka uone mpoto anawazalilisha

Sent using unknown device
 
Ummeongea nini sasa? Kwani kwa wewe umuonavvyo mpoto anahitaji msaada wa kiatu?

Sent using Unknown device
Nimeamini watu walio jaa pale msibani si kila mmoja yupo kimajonzi na harakati za msiba, kuna wengine wameenda kiuchunguzi na kupeleleza maisha ya watu. Mtu kufikia hatua hadi kumchunguza unyayo sio jambo dogo

Naamini hata angevaa ndala bado wangemuanzishia uzi kua jamaa katia aibu hana ela hata ya viatu mpaka avae ndala?

Sent using unknown device
 
Hawa ndio wabongo wenzetu.. Kila mtu ana misheni yake pale..

Watajijua wenyewe
Nimeamini watu walio jaa pale msibani si kila mmoja yupo kimajonzi na harakati za msiba, kuna wengine wameenda kiuchunguzi na kupeleleza maisha ya watu. Mtu kufikia hatua hadi kumchunguza unyayo sio jambo dogo

Naamini hata angevaa ndala bado wangemuanzishia uzi kua jamaa katia aibu hana ela hata ya viatu mpaka avae ndala?

Sent using unknown device

Sent using Unknown device
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom