Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

"Good news is it?? yes My aunt thinks ni habari nzuri and what about me?? well ……………..think i am loving the idea of mtoto wangu wa Kwanza in 2014……………i wish awe kama baby Nori…awww… How cute Baby...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Mi nilidhani wangekuwa maelfu, halafu kumbe ni wanachama wa CCM..so ningedhani ingekuwa mamia ya wana CCM....au ndo kujaribu kufunika ishu? Habari za Kitaifa Mamia wampokea Kikwete...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi...
1 Reactions
257 Replies
47K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa pamoja na msanii wa Bongo fleva Harmonize wameacha gumzo kubwa wilayani Tandahimba kwenye mkutano na Wajasiliamali wadogo juu ya vitambulisho. Gumzo...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Jacob Makala my brother kutoka Watengwa Crew (WTC), Kundi lenu asilimia flani ya member walitimkia mamtoni akiwemo Chindo Man (Mbwa) ambae anaishi na familia yake LA Marekani, Yuzzo Lubama pia, na...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Safari hii ni kupitia Wasafi TV YES or NO?
4 Reactions
17 Replies
6K Views
Habarini Wanajamvi, Hivi yule “mwandani” na “mkaribu” haswa wa Msanii Diamond Platnumz zama zile ambaye pia alikuwa akiongoza “dancers” wake, Mozes Iyobo, yupo wapi siku hizi? Jina la Iyobo...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Watu wengi walikuwa na walakini kuhusu ukaribu wa Nandy na familia ya marehemu Ruge Mutahaba wakati wote wa shughuli za msiba, kwa kupewa kipaumbele kuliko hata wanawake waliozaa na Ruge. Kupitia...
6 Reactions
211 Replies
66K Views
Katika hali ya kushangaza isiyo tarajiwa na wadau wa likwid.jana mzee wa likwid alizungumza na wanahabari kutuma salamu za sikukuu za mwisho wa mwaka huku akiwaomba watanzania wasimsahau hususani...
7 Reactions
40 Replies
8K Views
Hii inaitwa nyundo kwa nyundo au chuma kwa chuma yani cheche mwanzo mwisho. Na kiukweli katika mapambano ambayo nilikuwa ninatamani kuona yakitokea hili moja wapo , na nina tamani sana mmoja kati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Msanii nguli wa muziki wa R’n’B nchini Marekani, R. Kelly ametishia kujiua, hii ni baada ya polisi Mjini Chicago kupokea simu ya dharura kutoka kwa mwanamke mmoja ambaye hakujitambulisha jina...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari wanajamvi.....? Nimepita kwenye page ya Instagram ya bwana mdogo rich mavoko nimekutana na ujumbe husiokua wa kawaida....... Sijui nini kimemsibu huyu bwana mdogo, japo toka kajitoa WCB...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Zari The Boss Lady amewapa wakati mgumu mashabiki wake kwa kuweka picha za nyakati ambazo sio za ‘bata’ bali nyakati za kupambana na changamoto ya afya yake akiwa kitandani. Jana kupitia Snapchat...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Jana usiku nikiwa nimetulia ghetto baada ya miahangaiko na mihanjo ya siku nzima niliamua tafuta redio yenye kipindi kizuri walau cha kusindikizia usingizi niliokuwa nao.. Mara Paaap nakutana na...
25 Reactions
34 Replies
10K Views
Wakuu, Kwa tafakari fupi kupitia mfano wa kijana Pierre a.k.a Konki Fire. Mungu ni wa ajabu sana, na hakuna mtu aliyefikia viwango vya kumfahamu kikamilifu. Wakati mwingine tupo baadhi ambao...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
I DON’T CARE
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Ila wanazengo huyu mtoto mkubwa wa Ruge ni handsome. Yaani tangu nimuone siku ile akitangaza wasifu wa marehemu mi nilikua hoi mwenzenu, hata sisikilizi namuangalia tu alivyokua mashalah. Mzuri...
26 Reactions
498 Replies
81K Views
Kwamba Tanzania nzima kwa sasa ' Mastaa ' wapo Saba ( 7 ) ambao ni: 1. Rais Dkt. Magufuli 2. Makamu wa Rais Samia Suluhu 3. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 4. Spika wa Bunge Job Ndugai 5. Jaji Mkuu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima ya mtu haitatokana na umri wako, elimu yako wala cheo chako kwenye jamii, bali itatokana na huduma yako Kwa jamii. Unaowahudumia ndio watakaokukweza sio waliokuteua. Tunao maprofesa...
17 Reactions
73 Replies
13K Views
Kwa wafuatiliaji wa muziki mtakubaliana na mimi,naona spidi ya Mboso inazidi kushika kasi huku akipenya kila engo ya bongo,hii inamfanya akubalike vizuri sana na kuchukua nafasi ya Aslay ambaye...
9 Reactions
44 Replies
20K Views
Back
Top Bottom