Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu jamaa wasanii wenzake walimtenga kipindi kile alichofiwa na baba yake mzazi kwa sababu na yeye huwa hajishughulishi na wasanii wenzake kwenye misiba. Sasa wasanii wenzake walimtenga ili...
1 Reactions
56 Replies
12K Views
Kuelekea katika pambano lake litakalofanyika siku ya tarehe 23 March,bondia Hassan Mwakinyo amepata bahati ya kunolewa na bingwa wa dunia katika uzito wa juu ,Anthony Bellew au Tony Bellew . Hii...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ushauri wangu kwa Diamond kua wakati ni ukuta na hakuna anaeweza kupambana nao. Hakuna asiejua kua kwa miaka 8 iliyopita Diamond ametawala kwenye soko la muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania na...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Niaje masela na sisterdu kama kawa kama gwala niko hapa kukuletea kajina ka haka kabinti kamoja kutoka bongo freva kabinti ambako huwa nakapenda sana Yaan hako kabinti kana sauti tamu ni balaa...
9 Reactions
155 Replies
22K Views
Hebu msikilizeni huyu Ezden! Yaani anatia huruma kweli. Anakiri mwenyewe kuwa Dida alikuwa anamzidi kipato....halafu eti baada ya kufunga ndoa akaenda kuishi nyumbani kwa Dida. What a dummy...
5 Reactions
246 Replies
45K Views
Nimepita kwenye 'page' yao nikakutana na hiki, ikumbukwe kwamba jana ndo wamemtambulisha mtangazaji aliyekamilisha utatu mtukutu ndugu yetu Paul James na kuonekana kuwa na yeye ni miongoni mwa...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu habarini za wakati huu hopefully mko vyema ngoja niende direct kwenye mada baada ya kipindi cha Jahazi kinachoruka kila siku za jumatatu hadi ijumaa saa10 hadi saa1 ucku pale Clouds FM...
4 Reactions
47 Replies
12K Views
Kumbe Kuna wenye majibu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuuliza jamani, hivi hawa watu wanaotaka watu wa like na kushare picha zako na kuwalagai kwa zawadi ambayo ukweli hawazitoi, wana mlengo gani? Hivi wanawaona watu ni wajinga sana kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bodi ya Uainishaji wa Filamu ya Kenya (KFCB) kupitia Afisa Mkuu Mtendaji Ezekiel Mutua anasema bodi hiyo haitaruhusu watoto kuimba wimbo ambalo alisisitiza una ujumbe ambayo ni kinyume cha...
1 Reactions
258 Replies
33K Views
Hivi kuna mtu anajua maisha ya Misri yakoje? Kulindanisha na Dubai mwenye kujua naomba atufahamishe maana ndio watu wanataka kuhamia huko mwa ma firauni au nchi ya firauni (PHARAOHS)
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Huyu jamaa alikuwa anajiita Buibui alitamba na wimbo wa nimekusamehe miaka ya nyuma kidogo?? Juzi tuu msanii Alice keyla alifanya cover ya huu wimbo ikabidi nimkumbuke mwenye wimbo! Ingia YouTube...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
KAMA kuna kitu kinakukwaza ndani ya moyo wako, siku zote ukikaa nacho kitazidi kukuumiza lakini ukiamua kumtafuta mtu ambaye umeshibana naye na kumsimulia, moja kwa moja utakuwa umeutua mzigo...
0 Reactions
73 Replies
17K Views
Kuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo! Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho...
8 Reactions
225 Replies
47K Views
Mwanamuziki wa miondoko ya soukous na rhumba nchini Congo, Koffi Olomide amehukumiwa kifungo cha miaka miwili nje na Mahakama ya Ufaransa kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mnenguaji wake wakati akiwa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Sijui ndio ujio wa wimbo mpya au ndo kashakata tamaa na maisha..... MAONI YA MASHABIKI
0 Reactions
63 Replies
12K Views
Nilikuwa napitia vipande vya show ya Chris Brown aliyofanya Mombasa, yaani kwa jinsi alivyoperform sio yule Chris Brown nnayemjua mimi, ukiangalia show anazozifanyaga Marekani na Ulaya sidhani...
4 Reactions
45 Replies
10K Views
Aliekua Mpenzi wa Ruge Mutahaba ambae pia ni mzazi mwenzake,Zamaradi Mketema ambae amewahi pia kuwa mtangazaji pale Clouds Media Group(CMG) katika kipindi cha Take One kilichokua kikiruka Clouds...
0 Reactions
83 Replies
19K Views
Staa wa Filamu za Kibongo, Yvonne Sherry ' Monalisa ' hivi karibuni aliweka wazi kuwa anatamani kuolewa lakini hajampata wa kumuoa .Monalisa alifunguka maneno hayo baada ya uvumi kuenea kuwa...
0 Reactions
126 Replies
21K Views
Mimi ni mpenzi wa kipindi cha jahazi ila ukweli hiki kipindi bila kibonde (RIP) kimepwaya, Captain na George Bantu nawaomba msikate tamaa hizi ni changamoto za maisha
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom