Nimeamini bifu la clouds ni moto kuliko tunavyofahamau dogo alikuwa na haki ya kutokwenda msibani..

ngichinwe

Senior Member
Oct 15, 2018
156
500
Jana usiku nikiwa nimetulia ghetto baada ya miahangaiko na mihanjo ya siku nzima niliamua tafuta redio yenye kipindi kizuri walau cha kusindikizia usingizi niliokuwa nao..

Mara Paaap nakutana na ala za roho na kilikuwa kipindi cha wasikilizaji kupiga simu na kuchagua wimbo basi jamaa akapiga simu akaomba nyimbo ya harmonize sikuamini niliposikia yule demu anamwambia.

Aaaah nini sasa chagua nyimbo nyingine bana Jamaa kwenye simu nadhani hakuelewa akarudia tena naomba unipigie wimbo wa harmonise mara nikasikia tititiii Tiii simu ikakatwa.

Nikasema eboooo alishindwa hata kumpotezea kisaniii au akavunga na kupokea simu nyingine hii ina maana kuna marufuku ya kupiga ngoma za domo au dogo yeyote aliye chini ya somo.

Kilichonifurahisha zaidi baada ya dk kadhaa likawekwa tangazo la domo la pepsi nikasema kuudadeeeki hela nzuriiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Njopino

JF-Expert Member
Apr 8, 2014
3,464
2,000
Shida of that media ndo hiyo huwa hawafich bifu, back days ago walimficha konk wasipige jingo kwa hewa ndio mana master akapayuka in bitwiin sorrow sio yeye, hata wasanii wengi wamepigwa pini sana na ilo media kumbuka walaka wa binti machozi kwa watu wake pindi akidanja kabla yao, sio hayo tu yapo mengi behind the curtains. Tuombe uzima, macho na masikio.
Over
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,115
2,000
Kwani simu zinaruka live bila ya delay..., hii rahisi sana kwenye vitu live weka delay ya few seconds ikitokea issue hutaki iende kwa hewa una - edit na kuinyofoa... ila kama ni kweli ni utoto radio ya watu lazima ifanye wanayotaka watu.., wapewa wanachoomba, ila na kama kampuni fulani ikiamua kumpiga mtu BAN kwa sababu yoyote ile pia its their prerogative..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom