Star wa Brasil (IZA) Amchana Diamond kwa Kucopy Idea ya Video ya Wimbo wake na kuitumia kwenye GERE

Sawa ila tunacho shukuru umetizama video.

Hamna jipya chini ya jua,Drake kuna video yake moja kafanya akiwa kama kwenye chumba cha box,Rihanna naye akaja akafanya hivyo hivyo.

Avant ft Nicole kafanya video yy na Nicole wamelalia ukuta huku wakiimba,TI ft Keri hilson naye kafanya hivyo,Lulu Diva ft Mr blue nao wakafanya hivyo hivyo.

Bila kusahau kuna video kibao zinafanywa kwenye magari yale marefu huku uswahilini tunayaita magari ya milango sita.

So hamna jipya chini ya jua.Ila endelea kuongeza views,usisahau kusubscribe youtube na kuangalia matangazo.

Naona umeacha kuifanyia PROMO ngoma ya K2ga.😀😀
 
Hiv we jamaa Hauna kazi za kufanya kila siku we na diamond tu we jamaa ni mchawi wa asili.Me ujue nakushaa kwanini usifocus kwa msanii wako kiba kumsapoti.
 
Huyu jamaa anafanyaga hizi mambo makusudi, mnavyozidi zidi kumuongelea ndio popularity yake inazidi kupanda, he's in showbiz industry

Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
We unavyofikiri kila ngoma ambayo imetoka video yake inakuwa ya pekee haifanani na video yoyote duniani? unafikiri msanii anaangalia video zote duniani mpaka useme anakopi?
 
Hiv we jamaa Hauna kazi za kufanya kila siku we na diamond tu we jamaa ni mchawi wa asili.Me ujue nakushaa kwanini usifocus kwa msanii wako kiba kumsapoti.
Kwani Diamond ni Mmeo mkuu mpaka uzuie watu wasimzungumzie, Nimeweka Link hapo kawakanye na hao waliomzungumzia, Vip kiba alikupiga kibuti nini maana kila mada ya Diamond unamuingiza kiba, ulishawai kuona namzungumzia kiba hata siku moja hapa jukwaani?
 
Komaa na Kiba achana na diamond.
 
Huyu msanii uwezo binafsi ndio umeishia hapo.. Kabakiza kukopy na kuimba matusi.. nawashauri wamfungulie mashtaka ya hati miliki ili alipe fine iwe funzo kwa wasanii makanjanja kama yeye..
 
Huyu msanii uwezo binafsi ndio umeishia hapo.. Kabakiza kukopy na kuimba matusi.. nawashauri wamfungulie mashtaka ya hati miliki ili alipe fine iwe funzo kwa wasanii makanjanja kama yeye..
Unamfungulia mashtaka kwa kukopy sehemu ya video? Duu hii mpya.Kama ingekuwa hivyo Avant angekuwa tajiri.
Screenshot_20200221-111650.png

TI ft Keri hilson

Screenshot_20200221-112742.png

Lulu diva ft Mr blue
Screenshot_20200221-112152.png
 
Back
Top Bottom