Huyu ndiye mwanamke (sio Jacqueline) ambaye hata Mengi mwenyewe alikuwa anatetemeka akiwa naye

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Hayo mambo ya 50 percent ya uongo, believe me!

Huyo mama hapo ni Joyce Luhanga ni ndiye alikuwa Mengi’s brain

25BD4FD5-1B4C-44DB-8F1B-1024408AE4C2.jpeg


Jacqueline hana cha 50, 10 1 percent. Joyce yupo tangia enzi za 1980

In Trump’s voice I say “ believe me “.

Mama ni Co-partner IPP tangia biashara imeanza jikoni so acheni blah blah blah
 
joyce mhavile ni ipp tu, bado bonite, madini, mahoteli, majengo na accounts binafsi za mengi. Natalia umeelewa??
 
  • Thanks
Reactions: THT
Hivi leo kulikuwa na ibada yeyote ya Kidini kwa Marehemu Mzee Mengi kanisa lolote la Kilutheri Dar We Salaam kabla ya kusafirisha mwili? Naona walifika Bomang'ombe mapema sana leo.
 
Write your reply... hivi kwanini wanawake HAWAPENDI kuona mwanamke mwenzake akiwa NA maisha ya furaha au mafanikio? kwel adui wa mwanamke ni mwanamke hata asipopata haina mana kwako, cha muhmu tu ni kupambana na haya maisha ili utoke vipi majungu na fitina ni element za ufukara na ujinga
Naamini atapata kwsbb ya watoto, asipopewa hao watoto wadogo wataishije? Hlf unaweza kukuta ndani ya ukoo wala hakuna vurugu km zilizopo huku kwenye mitandao.
 
Hayo mambo ya 50 percent ya uongo, believe me!

Huyo mama hapo ni Joyce Luhanga ni ndiye alikuwa Mengi’s brain

View attachment 1091647

Jacqueline hana cha 50, 10 1 percent. Joyce yupo tangia enzi za 1980

In Trump’s voice I say “ believe me “.

Mama ni Co-partner IPP tangia biashara imeanza jikoni so acheni blah blah blah

Acha uongo!!! huko Canada vipi siku hizi umepoa ka vile umemwagiwa maji ya baridi.
Marehemu Mkewe ndie mwenye hiyo nafasi, sasa inaenda kwa watoto wao. Mlipwa mshahara ati awe nini!!.. kwi kwi kwiiii
 
Back
Top Bottom