Ni miezi 7 sasa tangu huyu mtanzania mwenzetu afariki, sio ndugu yangu, hajawahi kunipa hata shillingi tano, na wala sijawahi kuonana nae uso kwa uso, ila maisha yake yameni-inspire sana, sio siri...
Inauma sana!
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mh. Juma Hamidu Aweso kumbe kazaliwa mwaka 1986?! Dah!
Kama ni kweli ameanza kula maisha mapema sana!
Muigizaji huyo ameyasema hayo Ijumaa hii akiwa kwenye uzinduzi wa kipindi kipya cha Nipe Code ambacho kitaoneshwa kupitia king’amuzi cha @startimestz .
Ali Kiba ni staa kwenye muziki wa Bongo Fleva.. kama wewe ni mtumiaji wa Instagram utakuwa umeona kwamba Ali Kiba haja-follow mtu yoyote ukitembelea mitandao ya kijamii ya Ali Kiba utaona ya kuwa...
BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MWANAMUZIKI KING CRAZY GK JANA ALIONEKANA KWENYE HADHARA KATIKA TUZO ZA KILI.
CRAZY GK ANAKUMBUKWA SANA ALITAMBA NA KUNDI LAKE LA EAST COAST TEAM.
Hongera sana mtu mzima Jay. Kudumu kwenye relationship kwa kipindi chote hicho sio mchezo ukizingatia maneno ya watu kujaribu kuwashusha na kuwaongelea sivyo.
Nimependa Jay na Bey wamefanya...
Kuwa nawalinzi sio sababu ya kuuliwa tu, kitendo chakutoka point A to B ukitembea mashabiki wana weza kukuzonga kukuvutavuta sasa.
Kwa upande wa kiba haitaj kwasababu kiwango hicho kwake...
Haya sasa tangia jana ni missile after missile...
Inavyoonekana huyu Diva alikuwa na hamu sana Platnumz amjibu , maana tangia amejibiwa anarukaruka tuuu mara aseme hivi mara vileee, sahizi...
Yule muigizaji wa kimataifa wa nchini Tanzania ambae majuzi akiongozana na baadhi ya waigizaji wa Dar ametia kinyaa uwanja wa kigali na kufikia kila mtu kuanza kutukana Kinyarwanda
Haikuwa rahisi...
Kwenu wakuu
Huyu msanii nyimbo zake zilizopita zilikua hits kiasi chake na nzuri ila sikuhizi sijui anatoa ushubwada gani usharo mwingiiiii
Nyimbo sio hits tena sio zile zinye pick ile aliyokuja...
Hili game linaweza kusitisha mkataba wako wa kuwa superstar ukianza kutoa ngoma kwa kusua sua mashabiki wanahamia kwengine.
Sijui ni kipi kinaendelea lakini Ali amepoa mno, Yale ya "unikome"...
Baraza la sanaa limemfutia msanii Godfrey Tumaini "Dudubaya" leseni, kwahiyo hatakiwi kujihusisha tena na muziki. Mwanzoni msanii huyo alitoa kashfa tofauti kwa kutumia clips za video kwenye...
Amani iwe nanyi wakuu
Dudubaya ataendelea kuwa mshindi daima na hakuna wa kumzuia milele mpaka kiama.
Haogopi na ana msimamo. Kawashinda Clouds media sasa anaelekea kuwashinda BASATA na mpaka...
Music industry ina vituko vingi. Kiba anajiheshimu, Konde Boy anatafuta maisha Mondi naye kadhalika, sijui hizi conflict za sisi wasikilizaji zinatoka wapi.
Moja, Pili, msikiti kwa wale wenzangu...
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.