Mwanaume kamili haogopi vita , tuna slogan yetu , get rich or die trying , mara nying sasa kumekuwa na hali ya kumshindanisha Harmonize na Nguli wa bongo Fleva Diamond Platnumz , na hii...
Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bunge
Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
Wakati tukisubiri kwa hamu mpambano wa kukata na shoka kati ya Deontay Wilder na Tyson Furry utakaofanyika February 22 katika ukumbi Wa MGM Grand Arena, tutazame rekodi zilizowekwa na mabondia...
Did you know?
South African President, Cyril Ramaphosa became interested in ankole cattle after visiting Uganda in 2004. Top Billing also confirmed it
He is the first person to bring them to...
Habari za saa hizi wakuu ? Natumai mko fresh ki afya hasa ukizingalita hili kiki la dunia linavyo tupandisha pressure.
Acha nidondokee moja kwa moja, wakuu hivi hawa vijana wali fail wapi? Maana...
Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa
Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu...
Ameandika Janet Otieno muimbaji nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya:
Wapendwa wanaume,
Muda mwingine Mimi hujiuliza mnatoa wapi hizi nguvu. Kwa miezi unakaa bila hata kujinunulia mwenyewe nguo...
Natumaini kwa namna moja au nyingine utakuwa umehudhuria sherehe/hafla katika jiji la Dar es Salaam, je ni ma-MC gani uchwara uliowahi kukutana nao shereheni na wakafanya sherehe kuwa mbaya...
JUN042013
Hivi ndivyo jinsi Albert Mangwair alivyopokelewa kwenye uwanja wa Dar-Es-Salaam International Airport.
T.I.D ni mmoja wa wasanii aliyebeba jeneza la Albert Mangwair pale...
Paul Matthysse ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya Bongo Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. P Funk a.k.a. Majani, ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka...
Rais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa...
Je idris Sultan ni jambazi la kutumia silaha? Je ni gaidi? Ni alshababu au alkaida? Na je jambazi hana ndugu na jamaa? Hana ndugu wanaompenda na yeye anawapenda? Je gaidi wa alkaida hana ndugu na...
Kwanza kabisa nimpongeze Stamina kwa kupata deal la parimatch, jamaa Ni mbunifu Sana na anafanya kazi nzuri Sana nimefurahi Sana Jamaa kupata Hili deal maana jamaa alikuwa apati kabisa deal za...
Binafsi mimi sio shabiki wa muziki ila sijatokea kumuelewa huyu msanii Diamond Platnumz kabisa kuanzia staili ya uimbaji wake yaani naona kabisa jina ndio linambeba mda huu.
Kiukweli ukimuweka...
Alisema anataka kufanana na kiongozi wa kimila wa Kimasai aitwaye 'Laigwanan' ambaye kwenye kiapo chake wakati wa kupewa wadhifa huo huapa kuwa "Nikikiuka niliyoapa kuyatenda Mungu nilaani...
Mwanadada Bianca Schoombee wa Afrika Kusini amejitoa katika kinyang’anyiro cha mashindano ya Miss South Africa kwa mwaka 2020. Taarifa hiyo imetolewa na wakala wake.
Bianca alipata mapokezi...
Habari wakuu,
Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.
Msanii Idris Sultan (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.