Hizi ndizo rekodi ambazo ni ngumu sana kuzivunja

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,415
21,101
Wakati tukisubiri kwa hamu mpambano wa kukata na shoka kati ya Deontay Wilder na Tyson Furry utakaofanyika February 22 katika ukumbi Wa MGM Grand Arena, tutazame rekodi zilizowekwa na mabondia mbalimbali ambazo ni vigumu sana kuzivunja.

Wapenzi wa boxing tunamsubiri kwa hamu Floyd Mayweather mwaka huu tuone atapanda ulingoni na nani.

Miongoni mwa mabondia ambao wameonesha nia ya kupambana na Floyd ni pamoja na Terence Crawford na Manny Pacquiao japo Floyd alihitaji zaidi pambano na Khabib, Conor Macgregory au Pacquiao.

boxinghabit_20200211_7.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom