Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

1. Airport - Alikiba alikuwa amaetoka kuchukua tuzo, alipofika uwanja wa ndege Harmorapa alitaka kumzawadia t shirt ila Kiba aliikataa na kufunga kioo cha gari, Ila huenda kwasababu alikuwa na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Naomba tushauliane hapa, yawezekana hili naliona peke yangu. Kwanini wasanii wa bongo fleva ikitokea msanii akavuma sana ndo unakuwa mwanzo wake wa kupotea? Mbona wenzetu wa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Jeshiii aka tembooo ndio balozi wa benki maarufu Tanzania CRDB Bank. Haya siyo mafanikio ya kubeza asee. Huyu jamaa anakoelekea hamtokaa muamini.
41 Reactions
173 Replies
23K Views
Wasalaam! Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi tulitegemea Diamond atochukua hatua ambazo hutumiwa na wamiliki wa Radio nyingine wanapo tofautiana na wasanii! Diamond amekuwa dictator mwingine...
8 Reactions
130 Replies
25K Views
Namuangalia hapa live ananikosha sana, huyu ndo amekuja kuperfom sasa. Harmonize: Simlaumu sana kwavile ndio show ilikuwa inaruka kwa mara ya kwanza, alichokosea muda mwingi aliutumia kuimba...
8 Reactions
46 Replies
6K Views
Hizi story nazisikia sana kuwa fid ni marioo kuwa anaish kwa kulelewa ni binti wa kizungu hivi story ni za kweli maana kama siziamini ivi....coz kina ngosha hatuna izo sifa
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Msanii Rayuu katika picha. Msanii anayekuja juu kwenye filamu Alice Bagenzi ' Rayuu' amekiri wazi kuwa usagaji si mapenzi haramu na kwake anaona ni mazuri kwani...
0 Reactions
26 Replies
17K Views
Nimekua nikiona mara kwa mara hivi karibuni event nyingi za harmonize basi Cloud's TV na TV-E wanarusha live,tofauti na vituo vingine, Na hata Show's nyingi bure za pale nyuma kidogo baada ya...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Huwa nawashangaa sana wasanii wa vichekesho aka comedy. Wanapokuwa wakiigiza kama wanawake! Hivi huwa wanajisikiaje? Inaamaana hakuna wanawake wanaoweza kumudu uhusika katika scene hizo? Wanavaa...
6 Reactions
110 Replies
8K Views
By Sangu Joseph . Agosti 2019 : Harmonize alijiondoa WCB (Salam Alithibitisha) Januari 2020 (Harmonize alisaini mkataba wa kazi na Sayona (Endorsement) ) Januari 2020 - Harmonize akaanza Tour /...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
COVID-19: Austrian Wrestler Converts to Islam while in Lockdown Austrian wrestler, Wilhelm Ott, has pronounced the shahada (Islamic declaration of faith) while observing social distancing at home...
5 Reactions
78 Replies
7K Views
Msanii Nandy asifia uwezo wa Zuchu kimziki "Mimi Kama mwanamziki inaweza kuwa ngumu kusifia kazi za mwenzangu lakini kwa Zuchu kiukwel anajua Sana, Cha msingi ajitahidi kufanya vizuri atafika...
1 Reactions
50 Replies
10K Views
Tukiwa tuna throw back thursday. Tujikumbushe Shilole alivyokuwa msanii wa kwanza kulamba diili nono ya kuwa ambassador wa CRDB. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania wengi wanatatizo lakuwa wanafiki na wasio na shukrani hata kidogo, nimeona wengi wakiiponda BSS na wengine kwenda mbali zaidi kuitukana na kutoa lugha chafu juu yao Cha ajabu mpaka...
13 Reactions
85 Replies
9K Views
Binafsi ngoma ilikuwa ni kali sana. Sema kuna vimakosa vidogo vidogo vimeifanya ngoma kuwa ya kawaida. Mimi sio mtu wa Music sana, ila haya ni baadhi ya makosa yangu niliyoyabaini.. Kosa la...
12 Reactions
113 Replies
10K Views
Alifahamika kama mwanamuziki (sijui shughuli yake siku hizi). Hivi karibuni ameibuka na mtindo wa kumshambulia mwanamuziki Diamond kwa kila anachofanya. Imefikia hatua hata ya kujilinganisha naye...
8 Reactions
62 Replies
11K Views
Kimenukaaaaa , Bifu Jipya in Town kati ya rais wa wambea duniani Soudybrown na mwanadada mwenye sauti laini ya kumtoa nyoka pangoni Diva The Bawse. Ila kusema ukweli hili bifu nina mashaka nalo...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
Waliyokuwa wasanii wa kingsmusicrecords, cheed na lkilly wametangaza leo asubuhi kujitoa kwenye lebo hiyo kupitia ujumbe wa pamoja walioweka kwenye kurasa zao Instagram. Wawili hao wamemshukuru...
4 Reactions
118 Replies
59K Views
Wajameni rich mavoko yuko wapi? Simsomi siku nyingi.
3 Reactions
120 Replies
19K Views
Hivi karibuni, kuna rafiki yangu mmoja alipewa invitation sehemu. Akanicheck nimpe kampani. Tukaenda wote. Ilikuwa ni house party ya familia fulani ya kiarabu. Naweza kusema ni wale waarabu...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Back
Top Bottom