Rais Magufuli "sisi" kama Clouds TV tume-miss kupigiwa simu na wewe hususani Clouds 360!

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Salaam sana Mhe. Rais,

Mwanzoni haikuwa inapita muda mrefu kama sasa bila kupiga simu.

- Siku hizi umekuwa kimya sana, hupigi simu mpaka hatuelewi.
 
Yule chakubanga naniliu sijjui baba yake amegundua nini wakati analia shida maana namsomaga humu jf.

Anyway ache ajipendekeze kama jeri muro au la si hivyo atakuwa sio mtz
 
Kwani Baby Kabae amerudi kutangaza hicho kipindi.?

maana 'wengi' wameenda 'kumuunga' mkono kule wasafi tv
 
Back
Top Bottom