Mtandao maarufu wa kupanga charts za muziki duniani wa Billboard umeachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki...
Nukuu: "mtangazaji kanipgia simu kuniuliza, Roma kwanini hatukuoni Ukiandamana au Ukikekemea Mtandaoni yanayoendelea Marekani Kama wafanyavyo wasanii wenzio was bongo?(Black lives matter)...
.
By SanguJoseph
Leo nataka tuwaze pamoja, Kwa nyinyi kupokea salamu zangu kwa Alikiba,, msianze kusema wewe Sangu J unachuki Zako binafsi na Kiba, mbona kila siku wewe unamuangalia kwenye...
Katika kitabu chake cha SUGU THE AUTOBIOGRAPHY -MAISHA NA MZIKI (FROM THE STREET TO THE PARLIAMENT) Sugu anasema
""Nakumbuka katika kipindi hicho nilikuwa karibu sana na kanisa, nilikuwa mmoja...
Rais wa Manzese Madee Ali amesema kuwa haamini kwenye ubaguzi wa Rangi unaotajwa kuendelea Duniani na hata George Floyd inawezekana alikuwa mhalifu.
Madee amezungumza hayo kupitia kipinfi cha XXL...
Panapo majaaliwa siku ya Jumamosi Mchana tutazungumzia Viatu vya Jasiri Muongoza Njia (Ruge Mutahaba) baada ya kutangulia mbele ya haki.
Viatu vyake nani alipewa, na Je aliekabidhiwa Viatu hivo...
Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye label iliyomkuza, basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki.
Mapesa yote hayo wamempiga, bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha...
Msanii Jux ametoa ngoma inaitwa COVID-19 amemshirikisha Maua sama haina muda Mrefu tangu itoke.To be honest hii ngoma inaamasisha ngono kwa asilimia 💯 wameimba kwa deep passion sana za kimapenzi...
Habarini waungwana poleni na majukumu?
Moja kwa moja niende kwenye mada kama ilivyo tajwa hapo juu ,Waswahili wanasema mshika mawili moja humponyoka je hivi ndivyo ndugu yetu harmonize hatakavyo...
Taarifa za wazi zinaonyesha kwamba mwamba huyu aliuliwa na askari wa Marekani , hilo sina shaka nalo hata chembe lakini je mtu huyu aliyeamsha hasira kali dunia nzima alikuwa anajishughulisha na...
Stay tune Leo Usiku nitakua Live! Facebook & Instagram (IG)
LiveStreaming
SoHot[emoji91]
WaMoto
Karibu Umtizame na Kumsikiliza Mfalme wa Mziki wa Bongo Fleva
Wengi wanamfahamu kwa umahiri wake aliouonyesha kwenye filamu ya Sarafina akiwa na umri wa miaka 15 tu, filamu ambayo ilitikisa karibu Afrika nzima na baadhi ya nchi za ugahibuni.
Lakini jina...
Nawahusisha wamakonde wote wote katika mada hii na dharau anayoipata HALILA TONGOLANGA--FIELD MARSHAL TONGOLANGA (R.I.P)
1. Aliwatambulisha sana wamakonde Tanzania hii kupitia sanaa yake. 'kila...
Pale tunaposema kuwa Siku hizi hakuna tena Mapenzi bali kuna Upuuzi, Utoto na Usanii tupu muwe mnatuelewa vyema tafadhalini
Jackline Wolper na mchumba wake wameachana ikiwa hata wiki haijaisha...
Hawa maniga walizingua Sana, walionyesha udhaifu mkubwa Sana kuomba msamaha clouds bora wangekausha tu, maniga nawakubali Sana ila hapa waliingia cha mashoga
Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na...
Mtalaka wa Mabeste anaaiibisha wanawake yaani amefikia hatua ya kumshtaki mzazi mwenzie wakati wote walifanyiwa interview na Kila mtu alieleza kisa cha kutalikiana. Sijaona kosa la Mabeste hadi...
Mwanamuziki Curtis James Jackson III alias 50 cent ametaja dawa ya Corona.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram 50 ameandika:
" This shit is just sad , yes I guess we know the cure for Corona...
Bingwa mara tano wa ndondi duniani Floyd Mayweather amejitolea kulipia gharama za mazishi ya George Floyd ambazo zinanakadiriwa kufikia Bilioni 10 za Kitanzania hadi sasa, aliyekufa akiwa mikononi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.