Hivi Yamoto Band walikwama wapi ?

12 Marook

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
441
329
Habari za saa hizi wakuu ? Natumai mko fresh ki afya hasa ukizingalita hili kiki la dunia linavyo tupandisha pressure.

Acha nidondokee moja kwa moja, wakuu hivi hawa vijana wali fail wapi? Maana sometimes huwa naskiza tracks zao nakugundua kuwa walikuwa wazuri kuzidi hata maelezo.

Hivi hawa vijana wetu kiliwasibu nini?
 
Wabongo wanatakiwa wajifunze kuwa msanii ndio boss, wala sio meneja au promoter. Wale vijana walitakiwa wamwajiri Mkubwa Fella kama mfanyakazi wala sio Mungu mtu.
 
Wabongo wanatakiwa wajifunze kuwa msanii ndio boss, wala sio meneja au promoter. Wale vijana walitakiwa wamwajiri Mkubwa Fella kama mfanyakazi wala sio Mungu mtu.

Ndio hapo hasaa walifanya mistake na wasanii wengi bongo wana haribikiwa na kuisha kabisaa kwa ajili hii
 
Ndio hapo hasaa walifanya mistake na wasanii wengi bongo wana haribikiwa na kuisha kabisaa kwa ajili hii
Hii ni kwasababu msanii anakuwa ana njaa hajulikani hajatoka hakuna anayemjua. Anakutana na mtu kama fella, fella anampeleka studio, anarekodi anasambaza kazi yake anatoa ela ya video msanii anatoka. Sasa hapa boss kati ya wawili ni nani?
Kimsingi meneja inabidi asitoe ela ila asimamie mambo ya msanii kwa ela anayoingiza msanii. Mfano mameneja wa diamond hawatoi ela kupush video, na mziki wa diamond, ila anawalipa kusimamia mambo yake na kusaka deals kwa ajili yake na ndiyo maana yeye ni boss wao.
 
Naona watu wana-point fingers kwa Said Fella, well mbona now wametoka bado wengine wanasota mfano; Enock Bella, Beka Flavor even now Aslay sio yule ambaye Clouds kila wakati walikuwa wanampa promo!. Nadhani vijana walishindwa kujitambua na kuchagua ipi pumba upi mchele, ukifuatilia interviews zao hasa Beka flavor anadai wao ndio wali-push kuondoka before hajapewa go ahead na Fella, leo baadhi yao wametoka kwenye mainstream. Bongo msanii akifanikiwa basi lazima watokee "WANAFIKI" nyuma na kumpamba kwamba pale alipo hastahili yaani ananyonywa so mwenye akili atapuuza mjinga ataingia mkenge siku ya siku he/she's alone wanamkimbia!!
 
Ukimtoa Enock Bella ila wengine waliobaki hata kama unadai hawapati promo la clouds kama zamani but kwa hilo hilo promo dogo wana mafanikio ya kiuchumi kuliko walivyokuwa kwa Fella.
Yanini kuwa na promo kubwa wakati matunda ya promo kubwa huyali wewe? Ni bora uwe na promo la kawaida na kiingiacho kinakufaidisha.
 
Nafaka,
Wametoka kwa fella wakiwa bado wabichi sidhani hata nyimbo 15 walifikisha mainstream chini ya fella, pia mafanikio ya solo artist sio sawa na kundi hiyo ipo wazi ila inategemea kazi ngapi chini ya kundi, kulingana na muda waliokaa sidhani kama wangekuwa na pesa kiasi ambacho wengi wanadhani, pia baada ya wao kutoka na kuanza solo projects walianza kupata attention maana watu walikuwa wataka kujua nini hasa wanacho wakiwa kama solo artist that's why wengi waliwika lakini kwa muda mfupi wakaanza kupungua kasi mfn. Aslay na Beka flavor.
 
Back
Top Bottom