Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kupata deals, ubalozi, au endorsement ya kutangaza bidhaa kutoka kwenye makampuni sio kitu kidogo na si wote wasanii/waigizaji/watu maarufu hupata Makampuni huangalia vitu vingi mpaka kujiaminisha...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Hakuna mwanamziki anaependaga kuwa kimya kama wengi tunavyodhani, iwapo msanii hana tatizo za vituo vya redia, n.k basi mara nyingi ukimwya husababishwa na ishu ya "UKATA WA PESA". Ali kiba ni...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
"Utaratibu wa polisi wamshangaza Kagasheki Na Lilian Lugakingira, Bukoba NAIBU Waziri wa wizara ya Mambo ya Ndani, Khamis Kagasheki ameshangazwa na utaratibu unaotumiwa na jeshi la polisi wa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kama kuna alosikilia na kuona tukio la Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano anaweza kukubaliana nami kuwa Mama Asha alitoa hotuba nzuri ilogusia mambo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
Baada ya kushindwa kipindi cha nyuma sasa wameanza tena safari hii ila nyani mkuu ametulia tuliii anawaacha wapige kelele wabebane lakini atakuja kuwanyamazisha kidomo domo hao
4 Reactions
78 Replies
9K Views
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi Ngoma yake mpya...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
====== MAGO, Amechangia hii mada na kusema; Nimeona clips kadhaa za wasanii wa Wasafii eti wako kwenye isolation (kalantin) kwa sababu za mwenzao Salam kukutwa na maambukizi baada ya kuwa safari...
3 Reactions
74 Replies
16K Views
Msanii Stara Thomas amefunguka kuhusiana na mahusino yake na aliyekuwa msanii wa bongo movie Adam Kuambiana aliyefariki wikiendi iliyopita na kuzikwa jana kwenye makaburi ya Kinondoni. Stara...
3 Reactions
80 Replies
20K Views
ADAM Philip Kuambiana amezikwa jana kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam huku akiacha maswali magumu matano kuhusu maisha, mazingira na hatimaye kifo chake, Risasi Mchanganyiko...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Mkali wa wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz amesema ameagiza mixer kubwa nje ya nchi ili kuboresha studio ya‘Wasafi Records’ ambayo tayari imeshaanza kushafanyahits kadhaa ambazo zinafanya vizuri...
14 Reactions
67 Replies
56K Views
Jamaa aliondoka E-FM na kutimkia Clouds FM, namkumbuka siku hiyo mabodaboda walimsindikiza kwa mbwembwe, akapewa kipindi pale Clouds cha Nyimbo za Singeli kama alizokuwa akipiga E-FM siku hizi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kweli kipaji unacho kijana..leo unakwama wapi. Kwenye maisha usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana. Ona sasa wale jamaa zako waliokuambia jamaa hakufai anakuharibia ANAKUNYONYA. Ona sasa...
100 Reactions
176 Replies
68K Views
Huko Nigeria Album ya a boy from Tandale hata haijulikani kihivyo Sina mengi kapicha kanajieleza
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Huko Ottawa nchini Canada mnamo 22/03/1994 alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Daniel Nwosu Jr. Namzungumzia jamàa anaye fahamika Kama DAX kwa jina la kisanii. Utajiuliza kwanini nimeamua...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Ndani ya Wasafi Fm Diamond Platnumz ameibua vipaji vingi sana na amefanikiwa kuajiri watu wengi ambao wanalipwa vizuri tu kama wakina Kumwembe, Kitenge na wengineo. Lakini sijui kama Diamond...
12 Reactions
77 Replies
23K Views
Kati ya mambo ya kijinga kabisa ambayo Diamond ameyafanya ktk maisha yake ni kumdharau baba yake mzazi eti kisa alimtelekeza kumlea na mama tu ndo akamlea,ni kweli baba yake alikosea sana,lakini...
9 Reactions
126 Replies
22K Views
Jina lake halisi anaitwa Oladee kijana mzaliwa wa Nigeria. kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Ilorin kinachopatkana eneo la Kwara nchini Nigeria. Mwaka 2009 Oladee alipata mkasa mkubwa...
6 Reactions
70 Replies
20K Views
Kwa mujibu wa YouTube ambayo ndio platform fair kwa sasa Tanzania kupima nguvu ya msanii. Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa. Amefanikiwa kukamata chati za Youtube kwa akaunti yake mwenyewe...
1 Reactions
66 Replies
50K Views
Back
Top Bottom