Idris Sultan hujakoma tu Kijana?

mambo ya kipuuzi sana kwenye nchi hii, maana utani na kusemana hasa kwnye siasa ni jambo la kawaida sanaaa
 
Nikichukua fomu Kigamboni wala hata msiandae kura, andaeni masongi ya mazishi na rambirambi za kutosha.

Idris Sultan

Umemchokonoa Baba yake Kipenzi na akakutia 'Kimuhemuhe' hadi ukawa unatia Huruma kwenda kuishi jela sasa umehamia kwa Mtoto Kipenzi.
Kwani mzukuku anasemaje ?
 
Yaani watu walioshinda bingo kisha watapakanya fedha kizembe huwa nikiwaona nakereka sana!! Yaani Utopolo wa kupoteza pesa kizembe amesababisha vijana wengi kokosa ajira kupitia yeye ,yaani mil 500 yote kaitakapakanya kabakia kupata hela ya views na matangazo ya buku 10 insta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom