Madee: Sijawahi kufumaniwa nikiwa na Shilole

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,504
madee-NA-SHILOLE33.jpg


Msanii wa muzuki wa bongo fleva Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole alisema kuwa aliumia alipomfumania Madee na mpenzi wake huyo wa zamani katika sehemu ambayo si ya wazi yaani chumbani.

Lakini Madee kupitia kipindi cha Planet bongo amekana tuhuma hizo na kusema kuwa suala hilo halina ukweli wowote ule na kudai kuwa Shilole ni rafiki yake ambaye mara kadhaa walikuwa wakitembeleana kwa ajili ya kusalimiana na kupanga mipango mingine ila hakuwahi kutoka na naye kimapenzi na wala hajawahi kufumaniwa na Nuh Mziwanda kama ambavyo inasemekana.

” Siyo kweli Shilole ni rafiki yangu kama marafiki wengine, labda huyo Nuh Mziwanda angeleza vizuri aliwahi kunifumania wapi, lini na wakati gani labda naweza kukumbuka lakini ukweli ni kwamba yule na rafiki yangu kama walivyo rafiki wengine hivyo naomba ieleweke hivyo” alisema Madee

Source: Eatv
 
Kwa hiyo alichomaindi Nuhu ni Shilole kugongwa na mwanaume mwingine au shilole kugongwa na Madee?!
 
Vipi bado analikumbuka Sugar mamy lake ......... lakini wakuu msisahau yupo na Pettymani ( m'beba pochi wa sepenga) kama meneja wake huenda ndio anampa kanuni za kupata kiki.
 
Ilikuwa lazima asaidiwe, Nuhu mtoto chipsi mayai ule mmama angeuridhisha vipi mdude una hadi six pack za tumbo.
 
Ukiwa na rafiki wa kike ni kama kuku wa maonesho,iko siku utamla tu!! utetezi wa madee between lines km amekubali kimtindo flan HV.shilole au? kapiga pale
 
Yule dogo alikuwa anakaa mlangoni Tu, ndani aingii nje atoki. Alikuwa anawazibia watu tu. Wengine walikuwa wanataka wapige wasepe yeye anataka ajifanye baba mwenye nyumba. Hawa vijana wa kutoka bush tabu Tu ha!
 
Kwa majibu ya madee mstari kwa mstari madee anaonyesha wazi kabisa alikuwa anatafuta, Lakini nuh analalamika kitu wakati wote walikuwa wazinzi tu
 
Yule dogo alikuwa anakaa mlangoni Tu, ndani aingii nje atoki. Alikuwa anawazibia watu tu. Wengine walikuwa wanataka wapige wasepe yeye anataka ajifanye baba mwenye nyumba. Hawa vijana wa kutoka bush tabu Tu ha!
Ngoja wabush wakuskie
 
Back
Top Bottom