Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Baada ya kuulizwa kwenye kipindi cha clouds 360 anachukuliaje Ali Kiba na mama yake kumkana kwenye mapokezi ya msanii huyo, mrembo Jokate alijibu "Mimi kila kitu nachukulia positive unaambiwa tenda wema nenda zako, kwanza sitaki kuamini kwamba walimaanisha, labda waliteleza au walikosea script."

Jokate aliongeza yupo single na ameanza kutamani kuwa na mtoto.

FB_IMG_1488610543890.jpg
 
Back
Top Bottom