Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

VideoFUPI: Je Diamond katimiza ahadi yake Moja kati ya stori zilizoingia kwenye headlines siku ya February 1 2016 ni hii ya msanii wa Bongofleva na CEO wa record label ya Wasafi Classic Baby...
3 Reactions
98 Replies
20K Views
Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Msanii mkubwa toka nchini Nigeria patoranking ameonesha kumkubali msanii zuchu toka WCB WASAFI. Kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm radio leo patoranking alisema msanii wa kike anayemkubali...
4 Reactions
69 Replies
8K Views
Huku Mjadala Ukiendelea humu JF kati ya Rosa na Chemical nani Mkali, Rosa Ree usiku wa leo amedrop kichupa cha ngoma yake mpya aliyomshirikisha Rapper Kutoka South Afrika Emtee... Kitazame...
3 Reactions
32 Replies
10K Views
Si vibaya kujikumbusha na pia kufahamu wako wapi na wanafanya nini sasa katika maisha yao. Je kuna chochote cha kujifunza kutoka katika maisha yao? Je warembo wetu walifika wapi na wako wapi...
4 Reactions
233 Replies
178K Views
1. FA 2. Mwasiti 3. Belle 9 4. Joh Makini 5. Rayvanny 6. Mo Music 7. Abdukiba 8. Lady J Dee 9. Prof Gizze 10. Dayna Nyange
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Imekuwa kama fashion, sasa sijuii ni kweli au ndo muendelezo wa kina baba kutengwa kwenyw kula mema ya watoto wao? jana nilikuwa na sikiliza kipindi cha the switch wasafi pale kwenye segment ya...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
CEO wa kondegang harmonize amemsaini msanii scales kutoka nchini Nigeria katika label yake ya konde music worldwide. Source; harmonize Instagram page
8 Reactions
54 Replies
8K Views
Hawa ni Mastaa wa bongo wasio na skendo chafu yeyote 1.Hemed PhD 2.Vicent kigosi 3.Tino (bongo movie) 4.Daxx Cruz (Model) 5.Ommy Dimpoz (music) 6.Benny Kinyaiya 7.Prience fey (team...
0 Reactions
206 Replies
50K Views
Habari wakuu. Kipindi hiki cha janga hili la COVID-19. Kimesababisha watu wajifungie ndani (lock down). Hivyo hata maeneo ya starehe yamepungua watu. MaDJ wakubwa wakaamua kuanzisha group...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Msanii maarufu wa Kenya kwa jina Papa Shirandula amefariki dunia jumamosi asubuhi leo baada ya kupatwa na matatizo ya upumuaji. TV actor and comedian Charles Bukeko popularly knows as "Papa...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni kuliibuka vichwa hatari sana kwenye muziki wa Rap/Hiphop, hiki binafsi nakiona kama kizazi cha dhahabu kama ilivyokuwa timu ya Barcelona iliyomtetemesha SAF...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
Wakuu kama kichwa kinavyooleza hapo ugomvi wa Komando huyu wa kike kwenye tasnia ya burudani ya Muziki wa Bongo Fleva umezikwa, leo tangu asubuhi bandika bandua ni ngoma tu za Lady Jay Dee...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu Nashauri nafasi za...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Hii inashangaza sana kweli Mhe. Makonda kupewa MIC kama mzungumzaji kwenye harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo Hii kitaalaam tunaitaje?
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Jide ameonyesha kuipenda na kufurahia tweet ya shabiki mmoja asiyejua muziki. Ni wazi 'like' aliyotoa Jide inaonyesha chuki aliyonayo kwa Zuchu ambae ni kama mtoto wa kumzaa kwake. Maoni ni mengi...
1 Reactions
196 Replies
21K Views
Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana, Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua...
5 Reactions
129 Replies
18K Views
Wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya Diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo huko Arusha, promota anadai alimlipa Diamond advance...
1 Reactions
79 Replies
13K Views
Aman iwe juu yenu Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu Nina shida sana na huyu ninja mtu mpambanaji sana kidbwoy Je office yake iko wapi hapa mwanza Na huwa anapenda kukaa wapi na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty (32) maarufu Rihanna kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya Wanamuziki tajiri wanaoishi Uingereza na kushika nafasi ya 3. Amehamia London mwaka 2019 Rihanna...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom