Uchawi,Ulonzi na ndumba za Babu Tale,Salam na Fela umefanya muziki wa bongo kuwa ngumu sasa wananchi wamegoma kucheza Rhumba

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,247
2,000
Wasalaam wana jf...
Pamoja na muziki wa bongo fleva kukuwa kwa kasi kubwa sana tena sana na kuzalisha fursa kila leo lakini kwa sasa umekuwa mgumu sana tena sana.....Wasanii kutoa nyimbo nzuri za ukweli limekuwa jambo la kawaida sana tena sana....

Wasanii wengi wanatoa nyimbo nzuri sana kila leo lakini lakini wanapata wakati mgumu sana tena sana kupata attentions za watu hasa mashabiki wa muziki huu wa bongo fleva ambao asilimia 80% kwa sasa ni mashabiki wa wasanii wa WCB na hii imetokana na kutekwa na Ndumba na uchawi wa Salam ,Tale na Fela.......

Wasanii wengi pamoja na kutoa nyimbo nzuri lakini wengi wanakosa ubunifu kwenye kufanya promotion ya nyimbo zao kwani wanafikiri wakishatoa wimbo mzuri basi sisi mashabiki tutapokea tuu.....hata video nyingi hazina uwekezaji na hii inatokana na ndumba uchawi wa Tale,Salam na Fela....

Kama sio uchawi hivi inakuwaje watanzania wote hawajali kabisa kabisa kusikiliza kipya kutoka kwa wasanii wengine bali wanataka kusikia kipya kutoka WCB na kinapo toka kipya kutoka huko inakuwa ndio habari as if hakuna wasanii wengine........ni wazi sababu ni uchawi na Ndumba wa Salam,Tale na Mkubwa Fela...

Swala la Babu Tale,Salam na Fela kubeba matunguri na ndumba lina ushahidi kabisa maana haiwezekani wasanii wao peke yao ndio wakawa kila mara wanaongelewa na kufatiliwa ...hii ni wazi ni ndumba na ulonzi wao sio kawaida hii....

Watu wanashawishiwa kucheza Rhumba lakini ndio kwanza wako busy na wakina Mboso,Harmonize,Rayvany na Diamond.......hili si jambo la kawaida bali ni wazi mashabiki wamerogwa na wakina Tale...

Namimi na kubaliana na Rich mavoko kuwa hawa watu ni wachawi maana haiwezekani wasanii wao ndio waongoze kuwa na show kila leo na hii si kawaida bali ni uchawi na ndumba tuuu....

Wasalaam
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,958
2,000
sio kweli kama una wimbo mzuri mashabiki wanakupokea tu.. mfano hai maua sana na iokote, au safari na muziki darasa ..

mbona lava lava watu hatumuelewi japo nae ni WCB

ama Queen darleen nae ni WCB ila hatumuelewi...

wasanii wanaotamba wa WCB ni wale wanaotoa nyimbo nzuri tu... na ambao vituko vya maisha yao vina burudisha
 
Ni uchawi
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
37,847

Lava lava. .mboso na huyo Tom boy. .ni wasanii ambao akili yangu imegoma kabisa kuwaelewa. .

Mboso ana sauti nzuri sana lakini hana uwezo wa kutunga melody kali .kitu ambacho kinanifanya nimuone wa kawaida mnoo. .kwa sababu uchawi wa muziki ni melody kali. Utunzi na sauti
 
aiseeee na show anapata.....nawewe unakubaliana na mimi kuwa wanaroga? hahahahahah
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
2,674
2,000
Muziki umetekwa na philosophy ya WCB. Huo ndio ukweli na Kila msanii Saa hii anaimba SEX SEX NGONO NGONO NGONO !!!!..
Showbiz kwa kiasi kikubwa inaendeshwa kwa DRAMA za watu wa WCB hivyo, ukiniambia WCB inapewa attention kwa muziki mzuri pekee ni uongo mkubwa. Wapo midomoni Kila siku hivyo wakitoa ngoma inakuwa Kama muendelezo wa kupewa attention

WCB ni tawi la pongolo music ya naija inayoendeshwa kwa kuimba soft porn. Nyimbo nyingi ni monotomy na boring kwa wenye akili ila kwa wenye mahaba na u-team wataendelea kuskiiza Kila boko linalopigiwa promo.
 
Shikamoo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom