Nani kama mwana fa?hakuna!kitu classsic!

Heloo

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
4,108
Likes
2,705
Points
280
Heloo

Heloo

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
4,108 2,705 280
Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda kujisifia,kitu kizuri jamani hujiuza!kibaya hujitembeza!tukija kwenye kiingilio utakubalana name kwamba ulilenga watu waliostaarabika na wasiopenda kubwabwaja ovyo ndo maana hata mtu mzima FA tangia alipochafuliwa jina lake hujaona akijibu kwa namna yoyote ile!Big up BINAMU! ......Team BINAMU hakuna kuwajibu wasiojua maana maana hawaambiwi maana!mjadala umefungwa na mshindi ni MWANA FA! mana ameonyesha ukomavu na BUSARA kwa kutomjibu bibi yetu!
 
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
8,293
Likes
4,467
Points
280
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
8,293 4,467 280
acha unafiki wewe, unaweza vp kulinganisha Jide na FA? Angalia Jide ana albam ngapi, utajiri kiasi gani? influence gani kwa jamii (balazi wa fistula). Pia ni mwanamuziki bora wa kike TZ kwa mwaka huu.

FA anatumiwa na hajui kama anajiharibia sana kwa hilo maana yeye pia ni msanii angesimama upande wa wasanii wenzake na sio kutumiwa kwa maslai ya watu, natabiri huu ndio mwisho wake utaona tu. Hana u-classic wowote maana jana ilikuwa ni kudhihirishiana kuwa upande upi una nguvu na mwisho wa siku Jide amewapotezelea mbali

MwanaFA kwa Jide bado sana na hata wangesimamisha THT yote wasingeweza kumfunika Jide
 
fredito13

fredito13

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Messages
200
Likes
24
Points
35
fredito13

fredito13

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2012
200 24 35
Naomba kuchangia mada.
Tangu jana usiku nimeona picha na nimesoma post mbalimbali ambazo kwa kiasi kikubwa zilikua zinaonyesha kwamba tamasha la Jide lilifana kuliko la MwanaFA. Sababu kubwa za tamasha la jide kufana inaonyesha ni idadi ya watu waliohudhuria na burudani.
Kwa upande wa Binamu, waliohudhuria walikua wachache na show ilipooza! Ni vigezo vipi unavyoangalia kumpa ushindi Binamu??

Hao mashabiki wastaarabu aliwachagua au walienda wenyewe? Kwa uelewa wangu wa muziki, hata uwe na masheikh na mapadri ukumbini, mziki ukiwa mzuri watakupa heshima yako kwa kuimba na wewe, kucheza, kukutuza au kupiga kelele ili mradi kuonyesha wanakuunga mkono.
Kama mashabiki wako watakaa kwenye viti mwanzo mpaka mwisho wa shoo, basi umeshindwa kuwapa kile walichokitegemea kwako, maana yake umefanya vibaya!

Unafkiri ni kweli mashabiki wa Binam walikua wastaarabu au ni kupooza kwa show ndo kuliwafanya wapooze?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
K

Kisiwa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
123
Likes
3
Points
35
K

Kisiwa

Senior Member
Joined Oct 18, 2010
123 3 35
Poleni. Naona unaandika kwa huzuni sana, nahisi machozi yanakulengalenga
 
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
3,379
Likes
714
Points
280
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
3,379 714 280
Hahahahaha! Tangu asubuhi clouds wamepiga kimya hakuna anayezungumzia shoo ya Jana. Chezea anaconda.
 
D

Durable

Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
30
Likes
0
Points
0
D

Durable

Member
Joined Jun 11, 2013
30 0 0
Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda kujisifia,kitu kizuri jamani hujiuza!kibaya hujitembeza!tukija kwenye kiingilio utakubalana name kwamba ulilenga watu waliostaarabika na wasiopenda kubwabwaja ovyo ndo maana hata mtu mzima FA tangia alipochafuliwa jina lake hujaona akijibu kwa namna yoyote ile!Big up BINAMU! ......Team BINAMU hakuna kuwajibu wasiojua maana maana hawaambiwi maana!mjadala umefungwa na mshindi ni MWANA FA! mana ameonyesha ukomavu na BUSARA kwa kutomjibu bibi yetu!
ujinga ni mzigo naomba nikutue
 
Yegoo

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Messages
1,314
Likes
17
Points
135
Yegoo

Yegoo

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2012
1,314 17 135
kiongozi UMECHEMUKA!! Kateni rufaa!! Au mkamushitaki anaconda kwa kuwaibia mashabiki
!!
 
H

halikela82

Senior Member
Joined
May 14, 2013
Messages
187
Likes
2
Points
0
H

halikela82

Senior Member
Joined May 14, 2013
187 2 0
Napita tu naona mnatandikana matofali taraaaaaaaaaatiiiiibuuuu. Ngoja nikae pembeni hayo yenu!
 
P

Prince Gack

Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
79
Likes
0
Points
13
P

Prince Gack

Member
Joined Mar 1, 2012
79 0 13
duuh.. nasikia et wanafunzi wa ifm walipewa ofa ya kuingia ili kuongeza mashabiki... napita tu jaman sina ushahidi.
nawasilisha....
 
S

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
4,194
Likes
108
Points
160
S

Swat

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
4,194 108 160
Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
Ha mbona watu wachache na kama wamelazimishwa kuingia?. Huyo wa mbele kabisa anaandika sms! Hata wakati kipindi ni kibaya kuliko vyote chuoni tulikuwa hatuingii wachache namna hii.
 
Twilumba

Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Messages
6,838
Likes
1,672
Points
280
Twilumba

Twilumba

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2010
6,838 1,672 280
Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda kujisifia,kitu kizuri jamani hujiuza!kibaya hujitembeza!tukija kwenye kiingilio utakubalana name kwamba ulilenga watu waliostaarabika na wasiopenda kubwabwaja ovyo ndo maana hata mtu mzima FA tangia alipochafuliwa jina lake hujaona akijibu kwa namna yoyote ile!Big up BINAMU! ......Team BINAMU hakuna kuwajibu wasiojua maana maana hawaambiwi maana!mjadala umefungwa na mshindi ni MWANA FA! mana ameonyesha ukomavu na BUSARA kwa kutomjibu bibi yetu!
Heloo, mimi jana nilikuwepo kwenye hiyo show ya FA, kilichonifanya niingie hasa kwa sababu show ilifanyika karibu na makazi yangu, tuache uongo show ilipooza mno. Ni bora ningekwenda zangu kwenye mkesha kule kanisani ningecheza hata mapambio!
 
Heloo

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
4,108
Likes
2,705
Points
280
Heloo

Heloo

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
4,108 2,705 280
acha unafiki wewe, unaweza vp kulinganisha Jide na FA? Angalia Jide ana albam ngapi, utajiri kiasi gani? influence gani kwa jamii (balazi wa fistula). Pia ni mwanamuziki bora wa kike TZ kwa mwaka huu.

FA anatumiwa na hajui kama anajiharibia sana kwa hilo maana yeye pia ni msanii angesimama upande wa wasanii wenzake na sio kutumiwa kwa maslai ya watu, natabiri huu ndio mwisho wake utaona tu. Hana u-classic wowote maana jana ilikuwa ni kudhihirishiana kuwa upande upi una nguvu na mwisho wa siku Jide amewapotezelea mbali

MwanaFA kwa Jide bado sana na hata wangesimamisha THT yote wasingeweza kumfunika Jide
kuna picha humu ndani ndugu yangu.inaonyesha ukumbi ulikuwa ni chini na juu na kote watu walijaa.iyo picha imeposiwa na member kwenye hii thread.Halafu ndugu yangu ni kwamba ilikuwa burdani ya wastaarabu wavaa suti,sasa vituko na mayowe ulitaka yawe ya nini kwani pale mpirani.lazima ifike mahali tuwe wastaarabu halafu unavyosema haikufana si kweli,acheni wivu na huyo bibi yenu.
 
C

capo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
233
Likes
2
Points
33
C

capo

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2013
233 2 33
Mwanamuziki akiimba halafu Akuna anayecheza uwa anatamani ashuke jukwaani,jide Noma.
 
gwino

gwino

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
335
Likes
2
Points
35
gwino

gwino

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
335 2 35
mwanafa alikuwa kwenye fungu la kukosa sababu upande wa Jide ulikuwa na ma-legends wa game hii yabongo flava.
 
Heloo

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
4,108
Likes
2,705
Points
280
Heloo

Heloo

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
4,108 2,705 280
heloo, mimi jana nilikuwepo kwenye hiyo show ya fa, kilichonifanya niingie hasa kwa sababu show ilifanyika karibu na makazi yangu, tuache uongo show ilipooza mno. Ni bora ningekwenda zangu kwenye mkesha kule kanisani ningecheza hata mapambio!
acha uongo maneno yako tu yanaonyesha ni kwamba hukuwepo ila ni ushabiki tu.sasa kama ni ivyo si ungeenda kwa bibi mkora tu.au ndo kiingilio hukuwa nacho?mbona halafu nyie mpo ivi?mnaongea saaaaaana!kazi kweli.we unafananisha show ya binamu na ya bibi.iliyojaa watu wa kila aina?mpaka nashindwa kuelewa ivi mgesechiwa na kuibiwa mngemlaumu nani?siku ingine angalau toeni nuksi kwa kwenda sehemu zenye hadhi!
 
Heloo

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
4,108
Likes
2,705
Points
280
Heloo

Heloo

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
4,108 2,705 280
mbona kama msiba wamepooza sana
tulikuwa tunasikiliza ujumbe kwa makini na kistaarabu! Halafu jua kule ni mitaa ya wenyewe karibu na ikulu fujofujo ili iweje?
 
Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,493