Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,744
Ni Dj gani umkimsikiliza redioni playlist yake huwa haikuvuti unaona anashusha madodo tu, au ikiwa Club siku hiyo unaona bora unywe urudi home ulale au uende joint ingine kwasababu nyimbo zinazochezwa huzielewi,

Na ni Dj yupi playlist yake huwa unaielewa sana ikiwa ni kwenye kipindi cha redio au Club/Lounge akishika machine unasema yes ilikuwa nisepe ila acha sasa ni ruke majoka

Vitu vya kuzingatia, Beat Matching, Cutting skills, Scratching skills na Mpangilio wa nyimbo usilete mapenzi binafsi na chuki
 
Kuna Dj alikuwaga Kiss fm anaitwa Dj Davy sijui mwamba yuko wapi siku hizi alitisha sana kipindi kile, pia Dj mmoja anaitwa Dj Dhifa sikumbuki ilikuwa Mbeya au Iringa kuna Club nilizamia mida mibovu alikuwa anapiga pia alinibamba
 
Dj moja hivi alishawahi kuwa pale Magic anaitwa Bolynature huy jamaa ni balaa sana

Niliwahi kuingia Club moja inaitwa Royal Giraffe pale Tmk dah huyu mnyama ndipo nilipopiga #salute jamaa ni hatari sana huyu



Sent using Jamii Forums mobile app
Shekhe pale hakuna DJ mkali hata mmoja, wana playlist moja siku zote. Tunaendaga tu kwa sababu ya madela tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom