Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wafatiliaji wa soka wanafahamu ule utatu ambao haujawai tokea mpaka leo pale Galacticos mpaka leo. Ilikuwa huku Ronaldo de Lima, kule kuna Luis Figo alafu kuna kipara mwenyewe Zinadine Zidane...
9 Reactions
79 Replies
4K Views
Mapema wiki hii, imetrend habari imuhusuyo aliyekuwa Rapa Maarufu nchini Kenya, Colonel Mustafa baada ya kuonekana akifanya kazi za Ujenzi. Katika mahojiano rapa huyo alikiri kuwa amelazimika...
12 Reactions
36 Replies
4K Views
Petitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa. Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya...
10 Reactions
196 Replies
36K Views
Hello!! Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle. Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Twende kazi! Hawa wote ni storytellers Rapcha-lisa, Kontawa-Dungamawe Rapcha ana bars, ana flow na anaimba hiphop/trap Kontawa ana melody, bars kwa mbali,na anaimba hiphop/Bongo fleva Nani mkali??
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wasanii wa Muziki kutoka #Nigeria wanaendelea kushika nafasi nyingi na za juu kwenye kiwanda cha Muziki Afrika na Nje ya #Afrika ambapo katika orodha ya nyimbo 10 zilizosikilizwa zaidi kupitia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Robert De Niro ni mwenye asili ya Italia ingawa alizaliwa katika kitongoji cha Manhattan, New York City. alizalwa mwaka 1943. Kwa sasa anafanya shughuli zake uigizaji Hollywood nchini...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Japo kuna maneno kwa mwamba mziki umemshinda ukweli ni kwamba lavalava hapewi push kama artist wengine WCB. Kina harmonize,Rayvanny,zuchu,mboso hawa wote wamepewa sana push wametoa nyimbo nyingi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mshiriki huyu wa American Idol mwenye umri wa miaka 19, Benjamin Glaze, anatoka katika familia yenye maadili sana. Majaji wanamuuliza kama ameshawahi ku-kiss. Benjamin anasema kuwa hajawahi...
11 Reactions
64 Replies
3K Views
Hii guys Haya mambo ya mjini Daslam socialite Faiza na asieshiwa vituko amelipuliwa na kashfa za utapeli Kwa Baadhi ya watu waliompa Pesa awaletee mzigo kutoka China Ukimbukwe miaka kadhaa...
16 Reactions
141 Replies
10K Views
Albert Mangwair ft Lady Jay Dee__MAPENZI GANI. AISEEEEEEE[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
4 Reactions
11 Replies
694 Views
Naomba anayemfahamu Christina shusho anifahamishe historia yake ni mtanzania au mkongo? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
10 Reactions
164 Replies
22K Views
Joycelyn is an aspiring American singer who first came into the limelight after she accused R Kelly of keeping her as a sex slave. Robert Kelly popularly known as R Kelly has been making...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Msanii Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie watoto. Hamisa amesema baadhi ya wanaume wamekuwa wakimfuata na...
10 Reactions
44 Replies
6K Views
Ni Mtanzania anaeweza kuthubutu kufanya Jambo na likafanikiwa. Ana confidence. Ana uelewa Mpana katika masuala mbalimbali n.k Mwenye kujua historia yake hasa kuhusu masuala ya elimu, ujuzi, vyuo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni. Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake. Nilitazama interview moja...
11 Reactions
37 Replies
5K Views
Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja. Ripoti za awali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Kuna beef mpya Kati ya Nikki Mbishi na P the MC, bado sijajua chanzo hasa. Ila nimeona Twitter wakipeana madongo na Kuna Track P the MC kaachia inaitwa ‘Futi Sita’ akimdiss...
7 Reactions
196 Replies
33K Views
Siwafichi mpaka sasa Dizasta vina anaweza kuwa best real rapper Tanzania....take time umsikilize...Huyu jamaa kanifanya nifute nyimbo zote za wasanii kama kina Fid Q kwenye playlist yangu.
15 Reactions
152 Replies
29K Views
Back
Top Bottom