Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hii guys Haya mambo ya mjini Daslam socialite Faiza na asieshiwa vituko amelipuliwa na kashfa za utapeli Kwa Baadhi ya watu waliompa Pesa awaletee mzigo kutoka China Ukimbukwe miaka kadhaa...
16 Reactions
141 Replies
10K Views
Albert Mangwair ft Lady Jay Dee__MAPENZI GANI. AISEEEEEEE[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
4 Reactions
11 Replies
681 Views
Naomba anayemfahamu Christina shusho anifahamishe historia yake ni mtanzania au mkongo? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
10 Reactions
164 Replies
22K Views
Joycelyn is an aspiring American singer who first came into the limelight after she accused R Kelly of keeping her as a sex slave. Robert Kelly popularly known as R Kelly has been making...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Msanii Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie watoto. Hamisa amesema baadhi ya wanaume wamekuwa wakimfuata na...
10 Reactions
44 Replies
6K Views
Ni Mtanzania anaeweza kuthubutu kufanya Jambo na likafanikiwa. Ana confidence. Ana uelewa Mpana katika masuala mbalimbali n.k Mwenye kujua historia yake hasa kuhusu masuala ya elimu, ujuzi, vyuo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni. Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake. Nilitazama interview moja...
11 Reactions
37 Replies
5K Views
Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja. Ripoti za awali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Kuna beef mpya Kati ya Nikki Mbishi na P the MC, bado sijajua chanzo hasa. Ila nimeona Twitter wakipeana madongo na Kuna Track P the MC kaachia inaitwa ‘Futi Sita’ akimdiss...
7 Reactions
196 Replies
33K Views
Siwafichi mpaka sasa Dizasta vina anaweza kuwa best real rapper Tanzania....take time umsikilize...Huyu jamaa kanifanya nifute nyimbo zote za wasanii kama kina Fid Q kwenye playlist yangu.
15 Reactions
152 Replies
29K Views
Hivi Solo Thang anazo Album ngapi? Wakuu naombeni mnitajie zile ngoma kali za Solo Thang za Hip hip nizipakue. Hata zikiwa zaidi ya 20. Nataka nimjue huyu jamaa. #forgive me
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Genevieve Nnaji ndiye Muigizaji wa Nigeria anayelipwa zaidi kuonekana kwenye filamu Nchini Nigeria. Mwaka 2018, Netflix ilimlipa staa huyo wa Nigeria kiasi cha Dola Milioni 3.5 (Tsh. Bilioni 8)...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
#Chuo Kikuu cha Katoliki Afrika Mashariki kilichopo nchini Kenya wametumia mashairi ya wimbo wa “Rush” wa Ayra Star kama swali kwenye mtihani wao. Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hali ya ex MP imekuwa shwari kama bahari ya hindi! Alipatiwa matibabu kwa siku 127 na sasa yupo Gado. Waliokuwa wanamuombea mabaya salamu ziwafikie huko walipo! Picha: Moja ya pozi la Joseph...
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Wasanii walioshinda Tuzo za Tanzania Music Awards 2023 1. Msanii bora wa kiume: Harmonize 2. Msanii bora wa kike: Zuchu 3. Msanii bora wa Hip-hop: Bilnass 4. Msanii bora wa Hip-hop: Rosa Ree...
4 Reactions
48 Replies
16K Views
Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia. USSR
16 Reactions
100 Replies
9K Views
Arrayah Barrett, binti mwenye umri wa miaka 2 wa mlinda mstari wa Tampa Bay Buccaneers Shaquil Barrett, alikufa maji Jumapili asubuhi kwenye kidimbwi cha kuogelea cha familia hiyo, kulingana na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwaka jana kwao ulikuwa mwaka wa mafanikio makubwa kwa wasanii wao. Walikuwa wamefanya makubwa kimataifa kupitia Album zao ambazo zilikuwa na mauzo makubwa(mfano Made in Lagos ya Wizkid) Single...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Hivi watu wa HIP HOP. Mwana HIP HOP Langa Kileo alianza lini Hip hop. Na alifariki lini? Hivi Langa alitoa Album ngapi wakati wa uhai wa uhai wake. Tujuzane ndugu zangu. #forgive Me.
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi mimi binafsi huwa nashangaa sana inawezekanaje msanii Marioo ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la YALE hafanyi vizuri ukilinganisha na kipaji chake...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Back
Top Bottom