Hivi watu wa HIP HOP.
Mwana HIP HOP Langa Kileo alianza lini Hip hop. Na alifariki lini?
Hivi Langa alitoa Album ngapi wakati wa uhai wa uhai wake.
Tujuzane ndugu zangu.
#forgive Me.
Ndugu wanajamvi mimi binafsi huwa nashangaa sana inawezekanaje msanii Marioo ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la YALE hafanyi vizuri ukilinganisha na kipaji chake...
Juzi kati hapa tumeona Nandy akiwashambulia Wasafi media akiwatuhumu mambo ya kitoto yasiyo na kichwa wala miguu.
Wote tunajua Nandy hajawai toa ushirikiano kwa Wasafi media akiombwa interview au...
Habari.
Mtoto wa mwanamziki mashuhuri Davido Amefariki akiwa anaogelea Kwenye Swimming pool.
RIP little Young.
Music icon, David Adeleke aka Davido has sadly lost his first son, Ifeanyi...
Wanasema Albert Mangwair alikuwa rapper ambaye alikuwa mbele ya muda.
Hawajawahi kuacha kusema kila linapokuja suala la mbele ya muda kwenye mziki, Ngwair anazungumziwa sana.
Naombeni tujadili...
Rais wa awamu ya nne mzee Kikwete amepewa tuzo maalum ya kukuza muziki na kulea wasanii wakati wa utawala wake .
Amewakiliswa na mwanawe Miraji Kikwete jukwaani na kupiga simu kushukuru kwa kuwa...
Star wa muziki wa Afro Beats kutoka Nigeria amejizawadia ndinga mpya aina Mercedes Benz Maybach Virgil Abloh mpya kabisa.
Gari hizo zimetengenezwa 150 tu na sasa Davido atakuwa kati ya Watu 150...
Diamond ametuletea msanii gani? Yani haka kasichana kanakoitwa Zuchu kweli ndio kaje kushindana kwenye hili soko lenye waimbaji mahiri wa kike kama Nandy, Ruby, Maua Sama, Vanessa, Jide na wakali...
walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi kwa kiwaringia na kunyanyasa wasanii chipukizi maana wkt huo kuonana na hao ni kama kuonana na rais na waliringa mno saabu wakikuwa wao tu, yaani...
Kauli za nyota mwimbaji wa Bongo Flava, Nandy kuhusu Watangazaji wa Wasafi Media na Wafanyakazi wao kumshambulia na kumfanyia hila za kumshusha kimuziki imeibua mengi huko Instagram leo.
Hii ni moja ya picha ya mategemeo ya ukuaji kwa watoto walio chini ya uangalizi wa baba na walio chini ya uangalizi wa Mama, sio tuu kiumbo bali,kiakili na kihisia yaani hulka jinsia kwa ujumla...
Sina records nzuri lakini sijawai kuona msanii wa kike Tanzania amebeba tuzo nyingi hivi kwenye event moja.
Zuchu kwa ili unastahili hongera, upo kimya umeacha kazi zako zipige kelele. Sisi ndio...
Kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Kenya limetangaza nia ya kujitoa kwenye Shirikisho la Hakimiliki (MCSK) kwa maelezo ya kutoridhishwa na ulipaji wa fedha zinatokana na matumizi ya kazi zao za...
Mtangazaji Jerry Springer amefariki dunia
Kwa mujibu wa familia yake, Jerry Springer amefariki kutokana na ugonjwa wa Cancer
Jerry Springer amefariki akiwa nyumbani kwake katika jiji la Chicago...
Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile...
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.
Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.
Swaga zako...
Bosslady na socialite Zarina Hassan Aka mama watano na mdada mwenye mbwembwe East Africa ameolewa Jana Kwa Ndoa ya kidini Huko Kwa Uganda
Picha zimetrend akiwa na anavalishwa Pete na huyo mmewe...
Ni muda sasa toka mwaka huu uanze hasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast
Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeuiri mbele ya watangazaji wenzie hajasikika, pengine wanaojua watujuze...
Mama Dangote ambaye ni mama ya staa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na mume wake Rally Jones almaarufu kama Uncle Shamte wamepuuzilia mbali madai kuwa ndoa yao imesambaratika.
Walipokuwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.