Kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Kenya limetangaza nia ya kujitoa kwenye Shirikisho la Hakimiliki (MCSK) kwa maelezo ya kutoridhishwa na ulipaji wa fedha zinatokana na matumizi ya kazi zao za...
Mtangazaji Jerry Springer amefariki dunia
Kwa mujibu wa familia yake, Jerry Springer amefariki kutokana na ugonjwa wa Cancer
Jerry Springer amefariki akiwa nyumbani kwake katika jiji la Chicago...
Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile...
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.
Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.
Swaga zako...
Bosslady na socialite Zarina Hassan Aka mama watano na mdada mwenye mbwembwe East Africa ameolewa Jana Kwa Ndoa ya kidini Huko Kwa Uganda
Picha zimetrend akiwa na anavalishwa Pete na huyo mmewe...
Ni muda sasa toka mwaka huu uanze hasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast
Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeuiri mbele ya watangazaji wenzie hajasikika, pengine wanaojua watujuze...
Mama Dangote ambaye ni mama ya staa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na mume wake Rally Jones almaarufu kama Uncle Shamte wamepuuzilia mbali madai kuwa ndoa yao imesambaratika.
Walipokuwa kwenye...
Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru...
Tangu Langa atutoke ni miaka 10 sasa sikuwahi kuona wa kuziba pengo lake.
Dizasta Vina a.k.a Maradona huyu jamaa kutokana na mpangilio wa verse zake, namna anavyoflow naweza kusema pengo la...
Usiku wa Jana
Kampuni ya Brazzers imempongeza muingizaji ANGELA WHITE kwa kutwaa Tuzo 3 za Pornhub katika usiku wa Jana wa Pornhub awards katika vipengele vya
-TOP Dp performer
-TOP niciest tits...
Diamond Platnumz ambae ni msanii namba moja Africa. Hatimaye amepewa jina jipya kwa sasa anaitwa aka Sheikh Mansoor. Wakimfananisha na tajiri mmiliki wa Manchester City
Ameuanza mwaka sasa yajayo...
Wasalaam Wakuu.
Kila leo ubunifu wa aina mbalimbali jinsi wasanii wanavyowasilisha kazi zao kwa hadhira inazidi kuongezeka.
Kuna Msanii maarufu kwa jina la 'Kicheche', ana namna yake ya kipekee...
Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa...
Ni muda sasa naona Lavalava hajulikani yupo wapi post zake za mda mrefu alionekana na mpenzi wake namzungu wake sasa naona post hizo nazo zimefutwa account yake inatumika kutangaza matangazo ya...
Tarehe 25 Mwezi April ni kumbukizi ya Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie kukumbuka siku yake ya kuzaliwa ambapo Maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walisherekea kwa pamoja huku wageni...
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model”...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.