Wote tunamjua Marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata.
Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan.
Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake.
Lakini huyu dogo baada...
NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO.
Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano...
Kuanzia leo, akaunti zao za Twitter hazijathibitishwa tena.
Kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilianza kuondoa uthibitishaji wa tiki ya bluu uliokuwa ukitamaniwa kutoka kwa maelfu ya...
Wakubwa katika nyimbo ninayoipenda sana binafisi ni ya alikiba Mac Muga
Mashairi mazuri , vina vimepangiliwa ujumbe mzuri
Katika kufukunyua na kufuatilia nimepata nusu taarifa kuwa alieimbiwa...
Nina hoja mbili kuhusu huyu legend kwenye utangazaji hapa nchini...
Zinazonipa maswali mengi
1.kwanini ni rahisi Kwa huyu jamaa kuama redio moja kwenda nyingine chapu chapu Bila kuangalia brand...
Baada ya Mchezaji maarufu wa PSG ya ufaransa Ashraf Hakim kushinda kesi dhidi ya madai ya mkewe kuomba mahakama agawiwe nusu ya mali za Mumewe na kushinda baada ya mahakama kuchukunguza na kukuta...
Baada ya siku chache kupita ambapo mwana hip hop snoop dogg, kusema kwamba hakuwai kuupenda wimbo wa Tupac "hit em up" (diss track).
Snoop dogg was said: I didn't like this shit like it wasn't...
Habarini Wana Jamvi.
Hii Hali Inapoelekea sio nzuri kwa underground wetu NANDY,maana naona kabisa Kama tunaenda kumpoteza kwenye ramani ya Muziki.
Na hii yoote ni kutokana na ujio wa giant...
Ngoma kali za Godzilla.
1.SALASALA
2.X
3.GET HIGH
4.Mama Made It
5.Stay
6.Thanks God ft Walter Chilambo
7.Hard Work ft Chege
8.Kila Wakati ft G.Nako
9.Lakuchumpa ft Joti
10.Sonia ft Juma Nature...
Huyu jamaa Jonathan Majors ni actor anayeijua kazi yake vyema sana. Talent yake ni ya hali ya juu. na amepata deal kubwakubwa ndani ya muda mfupi sana. Sasa mwezi jana alikamatwa kwa ukatili wa...
Habari ya jumapili, wale mnaenda kusali ibada njema.
Miaka inaongezeka miaka inabadilika ila sio umri wa wasanii wetu.
Huu ni mwaka 2019, wema sepetu ana miaka 28, Hamisa ana miaka 24 ingawa...
AUDIO BATTLE.
Ngwair She got gwan vs Mb Dog Latifa. Ipi ilikuwa hatari zaidi wakati ule? Ipi ilikimbiza zaidi wakati inatoka?
Kwako ipi ilikuwa noma zaidi?
She got gwan vs Latifa.
#forgive me.
Kumbe jamaa ni mchicha mwiba lizuga na ndoa kumbe hamna kitu ni shoga baridi sasa yamemshinda ameamua kubwaga akaolewe kabisa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
EFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni?
Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama...
Kwangu naona imekaa poa. Ina faida kwa watangazaji wenyewe ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kuwa na maslahi duni kwenye fani hiyo.
Baada ya Efm kuwavunjia Wasafi Tv & Fm kipindi cha...
1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa...
Thabo Bester, maarufu kama "Mbakaji wa Facebook" amegoma kula chakula cha Mahabusu kwa saa 48 zilizopita akidai kuhofia kuwekewa sumu, hivyo kuomba Mahakama kuruhusu Mawakili wake kumpelekea...
[Verse 1: Solo Thang]
Yeah…
Yeah…
Hakuna S bila O
L bila O
Mwingine aitwe’ Thang bila Solo
Shupavu’ awajibike kama Apollo
Jay, Afande!
Ni ukuta’ wapi uchochoro?
Hakuna S bila O
L bila O
Mwingine...
Wakili wa Hakimi kwenye kesi ya talaka na mkewe Hiba Abouk anayejulikana Kwa jina la Barry Roux kupitia official account yake ya Twitter amesema:
"Hakimi kwa sasa hana mali yoyote kwa jina lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.