Mwakinyo: Masikini ana roho mbaya sana

Ni kweli kwa sababu hata hawa nyau wanaotusumbua kuuza mali zetu kila siku ni kutokana na umaskini wa asili waliokuwa nao ndio maana wanachowaza ni kuwafanya watu wote wawe wawaabudu wao tu na utajiri wa nchi uwe mali yao wao na watoto wao tu wala tusifikiri hata ndugu zao wanawajali.
Hawa watu wamekuwa ni mashetani wa kikweli kweli hawa ndio wale tunawaita "kumkoma nyani giladi" hawana huruma hata kidogo.
Masikini yupo tayari nyama kumuozea mikononi kuliko kumsaidia mwingine mwenye uhitaji.
 
yeye alivyokuwa masikini naye pia alikuwa na roho mbaya, ila leo sio masikini hana roho mbaya.

Maana yake hata wale masikini, wakipona kwenye umasikini maana yake watakuwa na roho nzuri tu.

tuwaombee InshaAllah masikini wote wauage umasikini.
Duuh yaani karne ya 21 unaongelea Habari ya kuombea umasikini mkuu
 
Back
Top Bottom