Diamond ndiyo msanii mvumilivu kuliko wasanii wote duniani?

brownboy

Senior Member
Jun 10, 2023
100
267
Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea.

Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya Mbagala. Haikuishia hapo ikawa kila siku vita na wasanii tofauti, media influencer plus ma ex zake.

Kina Ruge, Joh makini, Alikiba, Mr blue Tundaman, Hamisa Mobetto, Clouds media, Mangekimambi, Harmonize etc etc wote hawa wamekuwa maadui wa Harmonize kwa nyakati tofauti tofauti. Lakini mwamba bado kisiki cha mpingo na bado haoneshi dalili ya kupotea kimuziki. Tumpe hongera zake mpaka hapa alipofikia.
 
Amalizane na konde boy kwanza
 
Tukilewa tuanzishe mada kule kwenye thread ya walevi
 
Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea.

Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya Mbagala. Haikuishia hapo ikawa kila siku vita na wasanii tofauti, media influencer plus ma ex zake.

Kina Ruge, Joh makini, Alikiba, Mr blue Tundaman, Hamisa Mobetto, Clouds media, Mangekimambi, Harmonize etc etc wote hawa wamekuwa maadui wa Harmonize kwa nyakati tofauti tofauti. Lakini mwamba bado kisiki cha mpingo na bado haoneshi dalili ya kupotea kimuziki. Tumpe hongera zake mpaka hapa alipofikia.
FB_IMG_1702023817095.jpg
FB_IMG_1702023832166.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kijana wa 2000 nani minipo tangia mziki disco billkanas kijana ww unajua hao uliowataja hapo kwa show walikuwa walipwa shingap henzi hizo na alipo kuja mond unajua walianza kulipwa shingap nataka unipe jibu
 
Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea.

Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya Mbagala. Haikuishia hapo ikawa kila siku vita na wasanii tofauti, media influencer plus ma ex zake.

Kina Ruge, Joh makini, Alikiba, Mr blue Tundaman, Hamisa Mobetto, Clouds media, Mangekimambi, Harmonize etc etc wote hawa wamekuwa maadui wa Harmonize kwa nyakati tofauti tofauti. Lakini mwamba bado kisiki cha mpingo na bado haoneshi dalili ya kupotea kimuziki. Tumpe hongera zake mpaka hapa alipofikia.

Wewe hujui ukweli kwamba yeye ndiye anatengeneza matatizo fake!!! hawa vijana wanawachezea kama watoto. Hakuna vita wala nini. Hao wasanii ambao anawadai mabilioni ni kutafuta wapinzani kwa kulazimisha, Ali kiba hajawahi kugombana na mwana muziki wowote, Hamisa ni mdada kama wengine nani kamtafuta mwenzake kama Diamond kwanini asitulie na mwanamke wa maana badala ya kudandia wanawake wa mitandaoni! Hizi ndama ni za kutunga tutolee ujinga
 
Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea.

Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya Mbagala. Haikuishia hapo ikawa kila siku vita na wasanii tofauti, media influencer plus ma ex zake.

Kina Ruge, Joh makini, Alikiba, Mr blue Tundaman, Hamisa Mobetto, Clouds media, Mangekimambi, Harmonize etc etc wote hawa wamekuwa maadui wa Harmonize kwa nyakati tofauti tofauti. Lakini mwamba bado kisiki cha mpingo na bado haoneshi dalili ya kupotea kimuziki. Tumpe hongera zake mpaka hapa alipofikia.
NAONA UMEWAZA KWA UPEO WAKO.

WENZETU WANA MSEMO:
Not every part of your PRIVATE LIFE needs to be PUBLIC

ADUI WA KWANZA WA MTU NI YEYE MWENYEWE,
ADUI WA PILI NI MFUMO WAKO WA MAISHA.

EBU SEMA, HAO MA X ZAKE WANAO MPIGA VITA, ALICHAGULIWA NA TAIFA AU MASHABIKI ZAKE?
MAISHA BINAFSI KUYAFANYA YA KITAIFA SIO SANAA,
MAMA ANATIWA NA KIJANA MDOGO, WATU WANAJUA
BABA ANATIA KISICHANA KIDOGO WATU WANAJUA
DADA ANATIWA MBELE NYUMA WATU WANAJUA
KAKA ANATIA HUYU YULE, WATU WANAJUA.
YAANI UTAFIKIRI NI FAMILIA YAO TU YENYE "VIFANYIO MATUSI"

HUKU ANAJENGA MSIKITI, HUKU ANATUNZA NA KUFADHIRI MASHOGA!
 
Back
Top Bottom