Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Moja ya vitu vya thamani alivyopewa na CEO wa WCB Wasafi Diamond Platnumz ni cheni na pete vyenye thamani ya million 150. Mbali na hayo pia amepewa nyumba nzuri ya kuishi Mbezi Beach ni mara tu...
7 Reactions
61 Replies
6K Views
Hapa kaligraph msanii wa hip-hop toka Kenya alijinasibu nakusema yeye ni rapper mkali ndani ya East Africa na hakuna Rapa yeyote kutoka Tanzania anayeweza kumtisha. Uliibuka mjadala mkubwa...
14 Reactions
44 Replies
7K Views
Kuna wakati nataka kuamini conspiracy za kwamba Hollywood kuna figisu zinazofanywa dhidi ya Actor weusi juu ya mambo fulani fulani yanayowatokea Black actors. Btu lets keep it as a Conspiracies...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika pozi, baada ya kuaga rasmi ukapela na kuingia ktk majukumu. Hongera sana na karibu katika chama chetu cha wenye ndoa. Waswahili wanasema "ndoa ndoano".
4 Reactions
279 Replies
95K Views
Baada ya lavalava kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha billnas, #beernyama#, dotto magari amakuja juu baada ya msemo wake mpya wa #hapa ipo# kutumika kwenye ngoma hiyo. Kwenye interview...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Naombeni msaada jamani wanajamvi
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kusema ukweli Pasha alikuwa ni msanii mwenye kipaji cha Hali ya juu mno labda Kama hasingekosa manajiment inayojitambua na kufahamu vyema kazi na umuhimu wake kwa msanii PASHA huenda Leo tungekuwa...
11 Reactions
89 Replies
17K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla? Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu...
16 Reactions
241 Replies
16K Views
Kama heading inavojieleza Ndio zaire (DRC ya leo) aliwahi kuwepo Sadam Hussein Kwa wale wasikilizaji wa nyimbo za zaire hasa mwishoni mwa miaka ya 90 mtakua mumewahi kusikia hili jina likitajwa...
13 Reactions
137 Replies
29K Views
Maarufu kwa jina la Mr bean lakini jina lake halisi ni Rowan Atkinson. Aliyezaliwa siku ya tarehe 6 Jan 1955 huko nchini uingereza.. Je, unafahamu kwamba Mr Bean alisoma shule moja na aliyekuwa...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa leo ametimiza ahadi yake ya kumpatia prof Jay million 20 kwa ajili ya Taasisi yake ya prof Jay...
5 Reactions
92 Replies
7K Views
Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto. Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni...
11 Reactions
101 Replies
6K Views
Maisha yanaenda kasi sana eti shishi baby naye ana msanii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Msanii wake mwenyewe ni mpishi wake wa shishi food 😂😂😂😂😂 Sasa cha kuchekechesha ni kwamba eti msanii ataendelea kupika na...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Maneno mengi uwezo mchache,Wote wamechezea kichapo cha nguvu,ngumi haziitaji mbwembwe watakuja kufia ulingoni hawa watu. BTW. Hongera sana Tyson Furry kwa kunikalishia hii mutu kwa mara nyingine...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwamba alifanya soo kitaa akapelekwa jela KISONGO wakampiga para. Hana hamu na jela Tena. NB: jela haina mbabe kama wahuni wametambaa na mwamba Sura ya kazi sembuse vijana wanaoshinda kwenye AC...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Baada ya kulilia penzi la Harmonize kwa muda mrefu bila mafanikio. Mwanadada Jacqueline Wolper hatimaye aamua kumsambazia utamu huyu kijana ambapo bila hiyana wolper alimsifia kijana huyu kwamba...
2 Reactions
205 Replies
41K Views
Mie namkumbuka mwigizaji kwenye kifuatacho ITV, akiwa na Sekiojo na akina Nyamayao, Max, Bambo. Nani anajua alipo kwa sasa Abiola?
4 Reactions
41 Replies
8K Views
Katika vitu ninavyoviona vya ajabu basi ni tuhuma zinazomkabili Keshas. Keshas huduma zake kwa ujumla ni gharama sana, kupunguza tu tumbo tu peke yake ni laki 9 lakini cha ajabu kila kukicha...
5 Reactions
114 Replies
8K Views
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya...
13 Reactions
87 Replies
6K Views
Back
Top Bottom