Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,942
18,669
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.

770267396df5dc6a2e855babd967a128.jpg


Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.

Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.

Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.

Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.

Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.

Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.

Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
 
Kwenye UTANZANIAN HERO mtoe kabisa,tafuta nafasi ingine ya kumsifia kwa vile vizuri vichache anavyofanya na si kuweka vyote!

Maana akiamua kutukana utasema hana wazazi,akiamua kupamba utawaza na kufikiria siku ya harusi yake ilikuwaje!

Ni vyema ukawa na kiasi ktk kusifia! Japo ni kweli baadhi ya maswala anayaibua Mange yanaleta AMSHA AMSHA
 
Back
Top Bottom