Dudubaya ameokoka rasmi

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Leo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa.

Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini.
Screenshot_2023-12-10-21-28-51-654~2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiki tu
Mwamposa ni lini anatubisha watu zaidi ya kuwaibia pesa zao kwa kutumia wese, mchanga na keki?
Kwakuwa Dudubaya ni maarufu kajifanya kumtubisha.
Naamini hapa haikuwa toba ni mchezo tu. Dudubaya ana mawenge njaa zimemkaba anatafuta kujinasua while Mwamposa anatafuta wajinga awanyoe
 
No sio kweli, Dudubaya kaokoka kwa sababu anaumwa sana
 
Back
Top Bottom