Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
ELIMU KWA WASANII WA BONGO Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kipindi cha harakati ya kugombania uhuru kuwa elimu ndio ufunguo na msingi wa kila kitu. Nukuu ya Mwalimu ilisema...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN.. JINA: Richard Ramadhan Tunda KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35) ALIPOZALIWA...
9 Reactions
30 Replies
6K Views
Tanga ndiko kwa “magwiji wa filamu nchini”. Kwa nini nawaita hivyo? Ndio watu pekee waliothubutu kuandaa filamu za kibiashara katika miaka ya 1990 japo mazingira yalikuwa magumu sana; wakati huo...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya. Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama haufagilii mizigo mikubwa mikubwa ya Sheikh Kipozeo unapenda wastani basi mali hii hapa imerudi sokoni wakuu.
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Siku zote nawaonaga maDj wa bongo miyeyusho na tofauti sana na madj wa wenzetu. MaDj wa wenzetu huko mbele hutoa album, humix beats na kufanya kolabo na wanamuziki mbalimbali. Mdj wetu wengi (kama...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Msanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi. Jide kupitia mtandao wake wa X amesema, "Matukio yalioniumiza mwaka jana ni...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
QUEEN DARLIN _________________ Mwajuma Abdul Juma, wamezaliwa baba mmoja mama tofauti na msanii wa bongo fleva Nasib Abdul ‘Diamond’ ambapo alizaliwa jijini Dar es salam mwaka 1985 na kupata...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi. Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy. Huyu ndio future ya muziki wa...
2 Reactions
52 Replies
11K Views
Catalonia's top court on Thursday found former Barcelona /Brazil footballer Dani Alves guilty of sexual assaulting a women in a Barcelona nightclub in 2022. Sentencing him to four and a half year...
1 Reactions
5 Replies
897 Views
Yaani mdada kama Poshqueen ni mtu wa ku fall in love na mwanaume, hahaaaaa tena mwanaume mwenyewe Harmonize.😂 Baadhi ya wanawake (wengi wenu) mmetisha, mkiona mwanaume ana hela, mnajua kuigiza...
11 Reactions
61 Replies
6K Views
1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele 2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio...
4 Reactions
43 Replies
10K Views
Hawa ndio list ya madj bora kabisa katika kipindi hiki 1:Dj d ommy kijana anajituma sana anapiga kazi Clouds fm na pia ni award winning dj Afrimma 2.Dj mafuvu,the turn table master previously...
2 Reactions
41 Replies
12K Views
Mitaa inakuaminia sana mwana unajua kuchana. Siku hizi watoto wadogo wanaleta dharau sana! Ngonjera zimekuwa nyingi, wanapewa tu "airtime". Fanya kweli muhuni urudi kwenye "mainstream".
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Nikimuangalia Nandy namuona kama mwanangu kwa umri wake. Ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana na pia ndiye msanii pekee wa kike nchini mwenye Personality nzuri sana. Ninatamani kuona siku moja...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Nyota huyo wa Muziki wa R&B kutoka Marekani, amesema albam itaitwa "11:11" na itakuwa na nyimbo 11, tofauti na ilivyozoeleka katika albamu zilizopita ikiwemo 'Heartbreak' on a Full Moon, Indigo...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna msanii simkumbuki jina aliimba wambo wa rafael. baadhi ya mistari ninayo kumbuka ni; "ninamna gani, ni jinsi gani tutawin maishani mpaka siku tunasema buriani, ni jinsi gani yesu wangu...
6 Reactions
43 Replies
30K Views
Tunaweza kusema kuwa Harmonize ni moja kati ya wasanii wanaomuenzi mchezaji machachari wa PSG Achraf Hakimi kwenye harakati za kukwepa kuibiwa mali na Wanawake wa mjini. Range Rover ya Msanii...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Haji Manara amemuandika ujumbe wa Valentine mke wake kipenzi Zailyssa na kuwarushia Dongo waliosema kuwa penzi lao halitodumu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika, "Happy...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…