Lady Jaydee apoteza trophies 22 (Aibiwa na wezi)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Msanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi.

Jide kupitia mtandao wake wa X amesema,

"Matukio yalioniumiza mwaka jana ni Tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani ? Nimepoteza jumla ya Trophies 22. Nilihisi kama sehemu ya mwili wangu imemegwa. Ila maisha hayajawahi kusimama".

Screenshot_20240207-122520.jpg

Written by Mjanja M1 ✍️
 
View attachment 2896920

Written by Mjanja M1 ✍️
Amepoteza trophies, hajapoteza tuzo.

Tuzo ni ule ushindi alioupata. Hiki si kitu physical. Trophy ni alama ya kushinda tuzo, hicho ni kitu physical.

Kupoteza tuzo ni kama ushinde riadha, halafu upewe ushindi, halafu igundulike kuwa ulipata ushindi kwa kutumia madawa ya kuongeza nguvu, unyang'anywe tuzo.

Hapo utakuwa umepoteza tuzo.

Mfano, ukipata tuzo ya Nobel, unapewa na medali yake.

Ukipoteza medali, hujapoteza tuzo.

Ukipata ushindi wa ligi, unapewa kikombe, ukipoteza kikombe, hujapoteza ushindi. Hujapoteza tuzo ya kuwa mshindi.

Kuna tofauti kati ya tuzo na trophy ya tuzo.

But still, the symbol means a lot.

Pole zake nyingi.
 
Alireprt polisi asaidiwe kutafuta wezi na mvunjaji akakatwe?
Na kama inavumilika basi siku nazo hazigandi.
 
Msanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi.

Jide kupitia mtandao wake wa X amesema,

"Matukio yalioniumiza mwaka jana ni Tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani ? Nimepoteza jumla ya Trophies 22. Nilihisi kama sehemu ya mwili wangu imemegwa. Ila maisha hayajawahi kusimama".

View attachment 2896920

Written by Mjanja M1 ✍️
Jide ana libido, aje nimtoe upwiru
 
Hizo 10 ziliponzwa na utukutu wake wa kutotulia.
FOR HIRE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom