Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Baba Levo Baada ya mahusiano ya Baba Levo na mzazi mwenziye anayejulikana kama Mama Ruby au Salma kuvunjika, inasemekana kwamba mkewe huyo Salma alilaghaiwa na vibopa ili amwache Baba levo...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Msanii CPWAA ameaga dunia mapema alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba marehemu aliukuwa anaugua...
43 Reactions
481 Replies
67K Views
Katika hawa watu wewe unakwenda na yupi Hawa ndio warembo ambao dah nawakubali sana
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Jina lake halisi ni Salim Njwete Salum, jina maarufu ni 'SCORPION' alijulikana zaidi kutokana na tukio la kumtoboa mtu macho. Alikamatwa na akahukumiwa kifungo. Sasa ametoka yupo mtaani na mengi...
8 Reactions
66 Replies
9K Views
Daaaah, Dizasta Vina anaachia Albamu lakini hakuna hata uzi mmoja unaozungumzia!!!? Yaani watu wanamjadili tu Mwijaku wakati Dizasta vina ameachia albamu!!!? Okay, basi ngoja niingilie kati, maana...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Mashabiki wa Mwanamuziki Madonna (65) wa Jijini New York wamemshtaki mwimbaji huyo kwa 'Udanganyifu' na 'Mazoea Mabaya' baada ya kuchelewa kuanza tamasha lake, la Disemba 13, 2023 wakidai kuwa...
1 Reactions
2 Replies
814 Views
Huyu jamaa imekuwa kawaida kwake sasa kila akiona ngoma ipo trend basi ataidandia na kuforce remix. Sasa hivi majuzi baada ya kudandia wimbo wa Dayoo unaitwa Huu mwaka, raia wakamkalia kooni...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Name: Dayvon Daquan Bennett. Other names: Von. Grandson.V-Roy. Born: August 9, 1994. Chicago, Illinois, USA Died : November 6, 2020. Atlanta, Georgia. Genres : Hiphop, drill, gangster rap...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakati wa Majira ya Kiangazi mwaka 1991 huko nchini Marekani, Kampuni kongwe ya filamu ya Columbia Pictures iliyopo chini ya kampuni mama ya SONY ilikuwa imepata wazo la kubadilisha logo yake ya...
25 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwa wasiomfahamu Marombosso ni kijana hapo kwenye video, ambae alikuwa miongoni mwa wanaounda Yamoto band. Kwa sasa ametoka kupitia WCB. Wakati yupo Yamoto walikuwa wanachuana vikali na Aslay na...
4 Reactions
75 Replies
47K Views
Mmiliki wa maduka ya* Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
NIGERIA: Jeshi la Polisi nchini humo limeanza uchunguzi dhidi ya Nyota wa #AfroBeats, Davido ambaye anatuhumiwa kumnyanyasa Kihisia na Kumtishia maisha Mwimbaji #TiwaSavage Kwa mujibu wa taarifa...
3 Reactions
35 Replies
22K Views
Naandika huu uzi baada ya kumsoma kamikaze kwenye uzi wake: Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, Nini tunajifunza! If anything wasanii wabongo inabidi walalamikie ufinyu wa watanzania wengine nje...
59 Reactions
181 Replies
10K Views
Stori: Jelard Lucas na Makongoro Oging’ MTU akifanya jambo la kupita kawaida lakini zuri watu husema ‘amekufuru’, yaani amefanya kitu kizuri! Imezoeleka hivyo. Sasa kauli hiyo imekuja baada ya...
0 Reactions
100 Replies
24K Views
Huko nyuma, Stallone (rambo) kabla ya kuwa muigizaji alipitia wakati mgumu sana. Wakati fulani, alifulia sana hivi kwamba aliiba vito vya mke wake na kuviuza. Mambo yalikuwa mabaya sana hata...
21 Reactions
10 Replies
6K Views
Jamaaa anaimbaaaa aiseee 🙌🙌🙌🙌 Huu ni ushauri kwa Harmonize 1. Punguza Bangi 2. Kuwa na creativity upande wa collabo. Achana na wasanii wa hapahapa. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakati muziki wa rhumba / soukous Congo unapitia mabadiliko mengi ya vionjo, moja ya vitu vilivyonogesha ni kionjo cha kurap ambacho kiliongezwa haswa wakati nyimbo ilipokuwa inakaribia kuisha...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mjue james Hardley Chase, kipenzi cha wapenda riwaya za kusisimua, aliyehamasisha wengi kupenda utamaduni wa kusoma vitabu na ung'eng'e Taja jia la James Hadley Chase na wahenga wenzangu wengi...
23 Reactions
43 Replies
22K Views
Back
Top Bottom